Mkaa VS Gesi

Mkaa VS Gesi

Habarini,
Jamani leo naomba tujadili hili jambo binafsi, naona gesi ni bora na bei rahisi kuliko mkaa lakini naona hadi leo kuna watu wanapendelea kutumia mkaa wakisema ni bei rahisi kuliko gesi sasa nashindwa kuelewa ni bei ndogo kweli au ni mazoea, naomba tujadiliane kati ya gesi na mkaa kipi bora na bei rahisi?
Unaishi wapi?
Tuanzie hapo kwanza
 
Nimekuelewa hapo kwenye kulipia gas 48elfu kwa mkupuo ni tofauti kweli na ili ya kununua 2000 hapo ni kweli,familia nyingi kuna ugumu kumudu nishati ya gas hasa kwa hii factor...
Nini kifanyike sasa ,cha kufanya:intakiwa wasambazaji wa gas waweze kuwa na mitungi ya size ili kila mwananchi aweze kumudu gharama,ipatikane hata kamtungi ka elf5 to satisfy kila class,kama kweli tunataka kuachana na mambo ya mkaa kabisa
Wazo zuri sana. Inatakiwa wasambazaji waone fursa hii.
 
Habarini,
Jamani leo naomba tujadili hili jambo binafsi, naona gesi ni bora na bei rahisi kuliko mkaa lakini naona hadi leo kuna watu wanapendelea kutumia mkaa wakisema ni bei rahisi kuliko gesi sasa nashindwa kuelewa ni bei ndogo kweli au ni mazoea, naomba tujadiliane kati ya gesi na mkaa kipi bora na bei rahisi?
Gesi no rahisi lakini tusisahau economics of scale. Maskini hawezi kununua jiko na mtungi mara moja. Pili kununua mtungi 50,000 taslimu hawezi.
Anamudu kipimo cha mkaa Kila siku japo jumla yake ni kubwa sana kwa mwezi kuliko 50,000 ya gesi.
 
1131142

kumbe mm nilijua huoni, hayo majiko mm nimenunua 20.000/ na halikufaa kitu yalitokea Kigoma wakidaI ya USA
Nitakutumia kapicha cha jiko km hayo, nilinunua labda matumizi sikuelekezwa, wife limemshinda nataka kuliuza au scraper
 
View attachment 1131142
kumbe mm nilijua huoni, hayo majiko mm nimenunua 20.000/ na halikufaa kitu yalitokea Kigoma wakidaI ya USA
Nitakutumia kapicha cha jiko km hayo, nilinunua labda matumizi sikuelekezwa, wife limemshinda nataka kuliuza au scraper
Me ninalo nilipewa zawadi liko poa sana kuna mdau humu ana yauza laki 1 bei ni kubwa sana
 
Me ninalo nilipewa zawadi liko poa sana kuna mdau humu ana yauza laki 1 bei ni kubwa sana
nimeifuatilia hiyo link ya Mada ya majiko
kwangu mm hayawaki hata chai hayachemshi
nimerudi kwenye umeme na gesi
 
nimeifuatilia hiyo link ya Mada ya majiko
kwangu mm hayawaki hata chai hayachemshi
nimerudi kwenye umeme na gesi
Labda haliko sawa langu lina waka fresh
 
Hapa Nzega nanunua mkaa gunia 5000 gasi ndogo 22000.Kwa watu wa Dar na mijini gas ni rahisi.Kwangu Mimi gas ni ghali japo ipo faster.
 
Ni ufahamu tu. Lakini gesi ni rahisi sana. Ila sema haipiki maharage
Mkuu kwa hili naomba nitofautiane na wewe.
Nunua pressure cooker bana.
Harage linaoza ndani ya dk45 tu.
Ila gesi ipo juu ya mkaa kwa bei, kutegemeana na mkoa.
Nilipo mimi, gesi mtungi unaokidhi mwezi unauzwa 50,000/=.
Mkaa kutosha mwezi ni gunia mbili @15,000/= ni 30 ama 40 elfu, tofauti ni kubwa.
 
Back
Top Bottom