Mkaa unapatikana gunia 40,000/=

Mkaa unapatikana gunia 40,000/=

kibali kinahitajika kwenye kusafirisha mkaa tu sio kwenye kuuza. ukishafika mjini huo ni halali unauzwa tu bila kibali.

*kibari=kibali
Sawa kibali asante kwa kunisahihisha

Ndyo kama mimi nipo mkoani unanileteaje bila kuwa na kibali?

always am happy but i miss my mama
 
Habari wakuu,nauza mkaa gunia elfu 40,mkaa safi kabisa wa porini nauza bei ya jumla hata kwa gunia moja.Karibuni sana niko!!! Kama unahitaji njoo dm tuyajenge.
Unauzia wapi? au huduma mpaka mlangoni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom