Mjusi na nyani

The Don

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
3,499
1,163
Siku moja mjusi alimkuta nyani anavuta bhange,akajongea wakavuta wee ila ilikuwa kali sana mara mjusi akasikia kiu akaenda mtoni kunywa maji mara akatumbukia ila mamba akamwokoa akamuuliza kulikoni? Mjusi akamweleza jinsi walivovuta bhangi kali na nyani,mamba akaamua kumfuata nyani ile kufika akamkuta yuko juu mtini,nyani kumwona akashtuka mbaya! akamwambia yani umeenda kunywa maji yote mtoni umekuwa mkubwa hivo,si utakuwa umekausha,kweli mwaka huu tutakufa na kiu......
Teh teh teh...bhange nomaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom