Ndio, nyumba unayoishi ina mijusu mingi, fanya fumigation
Mjusi ni kiumbe kama viumbe wengine inaonyesha humu ndani ya nyumba yenu kuna hao viumbe wengi haina maana mbaya mbona mimi ninae Mjusi na kila siku analia na kunipa News kulia kwake nikiangalia saa najuwa amesema kitu gani mjusi huwa halii ovyovyo tu ndani ya nyumba. mimi nawependa hao viumbe.

Labda uliwachanganya ulipo andika LUGHA badala ya LOGHA...Hata mimi nashangaa, post hii nilindika katika jukwaa la hoja mchanganyiko lakini Mod akaihamisha hapa.
Napenda kuuliza kuhusu jambo hili (Labda linaweza kuwachekesha wengine lakini mimi limenishangaza), katika siku moja kuna mjusi watatu walibanwa na milango 3 tofauti za nyumbani, wote walibanwa katika siku hiyo hiyo moja (Haya hayajawahi kutokea tokea tuanze kuishi katika nyumba hii sasa ni miaka 24).
Milango iliyo wabana mjusi hao ni yajikoni (mlango wa kuingilia jikoni kutokea inje, uwani), na mlango wa kuingilia ndani (Main door) na mlango wa choo cha chumba chetu (master bedroom).
Je hili tukio lina maana yeyote ?