RALO Member Joined Jan 31, 2012 Posts 55 Reaction score 18 Oct 30, 2019 #1 Wakuu wa jamvini habari zenu? Napenda kujua je kuna tatizo kama nikisainishana mkataba na dereva wangu wa boda boda mbele ya Mjumbe wa Nyumba 10 badala ya kumtumia mwanasheria? Natanguliza shukrani zangu.
Wakuu wa jamvini habari zenu? Napenda kujua je kuna tatizo kama nikisainishana mkataba na dereva wangu wa boda boda mbele ya Mjumbe wa Nyumba 10 badala ya kumtumia mwanasheria? Natanguliza shukrani zangu.
Nuraty J JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 1,724 Reaction score 3,834 Oct 31, 2019 #2 RALO, Ingependeza kwa mwanasheria, maana ndio wana nguvu ya kisheria, ila hata kwa Mjumbe sio mbaya
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,728 Reaction score 5,670 Oct 31, 2019 #3 Nenda kwa wakili.
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,100 Reaction score 10,784 Oct 31, 2019 #4 Balozi wa nyumba kumi sio Kamishna wa viapo.
Robidinyo JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 4,101 Reaction score 8,867 Oct 31, 2019 #5 Nenda ofisini kwa Mtendaji/ Mwenyekiti wa Mtaa
S Saveya JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 3,640 Reaction score 3,885 Nov 3, 2019 #6 Mimi sio mwanasheria ila wakili ndiyo salama zaidi, nenda kasome sheria hii NOTARY PUBLIC AND COMMISSIONERS FOR AOTHS ACT
Mimi sio mwanasheria ila wakili ndiyo salama zaidi, nenda kasome sheria hii NOTARY PUBLIC AND COMMISSIONERS FOR AOTHS ACT
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,478 Nov 3, 2019 #7 Bodaboda tu... Hebu nenda kamalize biashara kwa mtendaji wa mtaa, akishapiga muhuri shughuli imeisha
R rolla JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,274 Reaction score 1,214 Nov 3, 2019 #8 RALO said: Wakuu wa jamvini habari zenu? Napenda kujua je kuna tatizo kama nikisainishana mkataba na dereva wangu wa boda boda mbele ya Mjumbe wa Nyumba 10 badala ya kumtumia mwanasheria? Natanguliza shukrani zangu. Click to expand... Hapo mjumbe Ni sawa na shahidi wa kawaida tu kisheria
RALO said: Wakuu wa jamvini habari zenu? Napenda kujua je kuna tatizo kama nikisainishana mkataba na dereva wangu wa boda boda mbele ya Mjumbe wa Nyumba 10 badala ya kumtumia mwanasheria? Natanguliza shukrani zangu. Click to expand... Hapo mjumbe Ni sawa na shahidi wa kawaida tu kisheria