GE2025 Mjumbe CCM amuuliza Peter Msigwa kama atahama chama andapo atashindwa kura za maoni, Msigwa asema kuhama sio kosa la jinai, inategemeana na mazingira

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.

Akatwe haraka,

Chama Cha majani mabichi,wanawaamini kuhama chama ni sawa na kuwachoma wauza bangi kwa polisi.
 
Mtia nia wa Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, leo 31 Julai 2025 amemjibu moja ya mjumbe aaliyemuuliza swali "endapo akishindwa atahama chama?" Msigwa amejibu swali hilo wakati akiomba kura za maoni kutola kwa wajumbe wa Kata ya Mtwivila.

View attachment 3426496
Haka kajamaa kwanini huwa mnakaita mchingaji wakati haelewi hata neno la Mungu? Ni lini Yesu alikimbia kutoka Israel kwenda Misri kama sio uongo na upagani uliopitiliza?

Kunzia leo futeni kabisa kumwita mchungaji huyu mkinga...period.
 
Njaa tupu
 
Mchungani mwanasiass😁
 
Msigwa ni sawa na ng'ombe aliyekatika mkia ndani ya ng'ombe wenye mikiq (wanaccm).
 
Soma biblia
Hapo ni Yusuph na mkewe waliondoka kwenda Misri wakiwa na mtoto Yesu ambaye alikuwa hajitambui wakati wazazi wake wakihofu hujuma ya mfalme Herode ambaye alikuwa akitafuta watoto wote wenye umri fulani ndipo wakakimbilia Misri kujificha kwa muda halafu wakarejea na kuelekea Galilaya na Nazareth.
Mathayo 2:13
2:13 Na hao walipokwisha kwenda zao, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto, akasema, Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukae huko hata nikuambie; kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize. 14 Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri; 15 akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema,

Kutoka Misri nalimwita mwanangu.

16 Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi. 17 Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema,

18 Sauti ilisikiwa Rama,

Kilio, na maombolezo mengi,

Raheli akiwalilia watoto wake,

Asikubali kufarijiwa, kwa kuwa hawako.

19 Hata alipofariki Herode, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto huko Misri, 20 akasema, Ondoka, umchukue mtoto na mamaye, ushike njia kwenda nchi ya Israeli; kwa maana wamekufa walioitafuta roho ya mtoto. 21 Akaondoka akamchukua mtoto na mamaye, akafika nchi ya Israeli. 22 Lakini aliposikia ya kwamba Arkelao anamiliki huko Uyahudi mahali pa Herode babaye, aliogopa kwenda huko; naye akiisha kuonywa katika ndoto, akasafiri pande za Galilaya, 23 akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazorayo.
 
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom