wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
kweli uswahilini kuna raha yake,mnaoishi magorofani mnamis mambo mengi kweli kweli,kitaa hapa kuna kituko kinaendelea sasa hivi,jamaa amegombana na mama watoto wake,ameamua kupeleka kesi kwa mjumbe,cha ajabu ni kuwa karibu watu wote hapa kitaa wanajua mjumbe anamla huyo mke wa jamaa.watu wanaguna kimya kimya waone leo maamuzi ya kesi yatakuwaje.kazi kweli kweli