Mjue tajiri mkubwa duniani anayeishi na papa nyumbani kwake!!

Hiyo mijamaa ya Mexico imeingia nchini kwa wingi mpaka naogopa wameona nini huku kwetu maana nilikwenda kwenye restaurant inayopika vyakula vyenye asili ya Mexico iliyoko kule Mikocheni nilishangaa hao jamaa wako wengi ajabu........ je ni wawekezaji au ndio wanatafuta ardhi ya kupanda ile makitu yao?

Na ile ziara ya mkuu wa kaya kule nchini kwao imezidi kufungua milango ya hawa jamaa kumiminika nchini kama wauza ng'ombe wa Pugu..........

yangu macho na masikio, tusubiri tutaujua ukweli siku si nyingi

Hivi mkuu una habari kwamba Tanzania imekuwa centre ya drugs supply??ndio nchi inayopitisha madawa kuliko nchi yoyote ile duniani,kuna madawa yanakuja ma meli hapa tone na tone za madawa na yanasafirishwa kuelekea nchi zingine
 
Nje watu wana-drop out na wanakuwa matajiri. Tz watu wana madigrii na wanakuwa maskini. Toa maoni yako pls.
 
Hiyo mijamaa ya Mexico imeingia nchini kwa wingi mpaka naogopa wameona nini huku kwetu maana nilikwenda kwenye restaurant inayopika vyakula vyenye asili ya Mexico iliyoko kule Mikocheni nilishangaa hao jamaa wako wengi ajabu........ je ni wawekezaji au ndio wanatafuta ardhi ya kupanda ile makitu yao?

Na ile ziara ya mkuu wa kaya kule nchini kwao imezidi kufungua milango ya hawa jamaa kumiminika nchini kama wauza ng'ombe wa Pugu..........

yangu macho na masikio, tusubiri tutaujua ukweli siku si nyingi
mkuu mtambuzi wacha waje surakali yenyewe dhaifu inatoa tu vibali vya wahamiajia unaona jinsi vijana wanavyoathirika na ile kitu >??
 
mbona sebuleni kwa ndolanga floor yote ni kioo ambacho chini kuna samaki alafu bonge la sitting room.bongo kuna watu wanahela usiseme
 
Hivi mkuu una habari kwamba Tanzania imekuwa centre ya drugs supply??ndio nchi inayopitisha madawa kuliko nchi yoyote ile duniani,kuna madawa yanakuja ma meli hapa tone na tone za madawa na yanasafirishwa kuelekea nchi zingine

I agree with you mkuu, Tanzania is one of the biggest drug transit points in Africa. Infact inachuana na South Africa. Na drug lords wa hapa Tz wako very well connected, hao unaowasikia wamekamatwa ni transporters tu.
 
I dont think ulichotoa hapa kinahesabika, ukitoa buku ukamuhonga demu ile buku sio yako tena ishakua ya demu! Upo mpwa?

Mkuu Go back and clearly make your assignment buddy. Anyway you can start down here;

The world's second-richest man is worth $65 billion?and that's after giving away more than $28 billion. Gates' post-Microsoft mission includes eliminating many infectious and deadly diseases: By his own estimates, that could translate into 8 million lives saved by 2020. But the quintessential activist billionaire doesn't stop there: Gates continues to persuade his peers to sign the "Giving Pledge," promising to give away half their wealth or more. 2012 HIGHLIGHT: Twenty-three more tycoons signed the Giving Pledge this year, bringing the total to 92.

Bill Gates - Forbes
 
The world's second-richest man is worth $65 billion?and that's after giving away more than $28 billion

Ndo maana nasema kile alichotoa hakihesabiwi, lets say angeamua kugawa hiyo $65bn yote badala ya $28bn- unadhani bado wangemuweka kwenye hiyo rich list? Its what you have- your assets, madeni na salio.
 
Kama Mengi na Bakhresa, Mengi anatoa kwa maskini lakini Bakhres sijawahi kumsikia hata siku moja

Msaada wa Bakhresa ni mkubwa sana katika jamii. Mengi ni mtu wa show off, amitoa msaada lazima vyombo vyake vya IPP vitamtoa tu. na yeye huwa anakna sifa sana, na analenda kujitangazia akitoa misaada yake. Bakhresa muna wafanya kazi wake hawamjui wanamsikia tu, kwa sababu sio show off kama Mengi. Lakini bakhresa anasaidia sana ila kimya kimya na ndivo inavotakiwa.
 
Ndo maana nasema kile alichotoa hakihesabiwi, lets say angeamua kugawa hiyo $65bn yote badala ya $28bn- unadhani bado wangemuweka kwenye hiyo rich list? Its what you have- your assets, madeni na salio.

Nachojaribu kuelimisha (ila naona una kichwa kigumu kuelewa) ni kuwa kama angekuwa hatoi kitu kama Carlos Slim basi angekuwa on top of the list. Yaani kwa mwaka jana angekuwa na more than $93b then Slim $69B umeona gep ambalo angepiga kama asingekuwa activist.
 
Back
Top Bottom