Mjue tajiri mkubwa duniani anayeishi na papa nyumbani kwake!!

Msaada wa Bakhresa ni mkubwa sana katika jamii. Mengi ni mtu wa show off, amitoa msaada lazima vyombo vyake vya IPP vitamtoa tu. na yeye huwa anakna sifa sana, na analenda kujitangazia akitoa misaada yake. Bakhresa muna wafanya kazi wake hawamjui wanamsikia tu, kwa sababu sio show off kama Mengi. Lakini bakhresa anasaidia sana ila kimya kimya na ndivo inavotakiwa.
Labda Slim nae ni ka Bakhresa pia. Anyway kila mtu na utaratibu wake wa maisha.
 
kumb

Huyu ndiyeyule mwanzilishi na mmiliki wa Microsoft ambayo inahusika na utengenezaji pamoja na usambazaji wa Program za kompyuta, Jina lake harisi likiwa Willium Henry maarufu kama Bill Gate ambaye ni tajiri namba mbili duniani baada ya Carlos Slim raia wa Mexico, Bill ana utajiri wa Dola 61.3 bilioni. Ana nyumba eneo la Medina jijini Washngton yenye thamani ya dola 125 milioni ambayo imepakana na ziwa Washngton huku James Cutler akiwa mbunifu wa nyumba hiyo kwa kutumia kompyuta na aliijenga kwa kupasua mlima ulio karibu na ziwa hilo. Chini ya nyumba hiyo kuna bwawa la samaki ambalo lina samaki mbalimabali
wakiwemo papa ambao huonekana wakipita chini ya nyumba hiyo kwani
sakafu yake imejengwa kwa vioo pamoja na kuta zake ambavyo vinahimili uzito mkubwa, Pia anamiliki magari kama Porsche 959 coupe,Lincolin continental,Ford Focus na Limousine Chevrolet Corvette, pia nanamiliki ndege nne ikiwemo ile Bombardier BD-700 Global Express yenye thamani ya dola 45.5 milioni na pia anamilki boti ghali sana duniani ya Goygpus!.

kumbe nae anamiliki bombadia kama bwana yule
 
Pamoja na utajiri wote, bado wanaishi kwa STRESS balaa kuliko mimi kabwela. Lakini kwa upande wangu utajiri ni mambo ya kawaida na mpito. Kama tajiri angekuwa na uwezo wa kuzuia kifo au kufufuka hapo ndo ningeamini utajiri matters alot in this world
 
Duh, jamaa nilijua ndiye ajiri mkubwa dunianai kumbe anazidiwa na tajiri wa Mexico.... Huenda huyo wa Mexico ametajirika kwa madawa ya kulevya
huwa wanachuana mara nyingine bill gate , baada ya mda engeneer carlos lakini huwa hawachezi mbali na izo number.
 
Inasemekana Slim anamzidi pesa Bill Gates kwa sababu Bill anatoa misaada sana yaani karibia nusu ya pesa yake anaitumia kufadhili mambo mengi sana duniani hasa nchi zilizo maskini kama bongo (Malaria issue i think) lakini huyo Slimu hatoi hata kumi kusaidia kitu chochote

So technically Bill ndiye tajiri mkubwa sana!!
Mfadhili mkubwa wa Boko Haram na kutengeneza dhika
 
Back
Top Bottom