Mjue State CIO wa Nchi yetu

Mjue State CIO wa Nchi yetu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Hivi who is the CIO wa nchi anayemshauri Presedent wetu kwenye masuala ya Technologia ya Habari na Mawasiliano kama hamna naomba Ikulu watangaze nafasi hii muhimu sana kwa maendeleo ya nchi
 
Anaitwa salva somebody
 
Hivi who is the CIO wa nchi anayemshauri Presedent wetu kwenye masuala ya Technologia ya Habari na Mawasiliano kama hamna naomba Ikulu watangaze nafasi hii muhimu sana kwa maendeleo ya nchi

We si upo Arusha .... sasa unatafutwa na muhongo kwa uchochezi wako huu ...... rais ana akili sana kuliko watz wote sasa unataka nani amshauri ..... p .u.mbaf mkubwa wewe(samahani sio mm ni muhongo)!!!!!
 
Back
Top Bottom