Mjue Sheikh Ponda Issa Ponda na Kundecha

Asante mkuu kwa elimu hii kwetu sisi ambao tulikua hatujui kinachoendelea!

Asante mkuu kwa elimu hii,mimi mwenyewe sielewi Shekh Ponda ni nani au nini,au ana issue gani. Kwa ufupi kuna mgongano wa maslahi kwa kupitia mwavuli wa dini ili katika kuchukuliwa hatua, watu wadhani serikali inatumika kukandamiza kundi fulani kwa maslahi ya kundi fulani. Big up kaka.
 
Nawashangaa wanaomuunga mkono Ponda. Mie wala asiwezi kumuita sheikh kwasababu hana sifa hiyo! Ni mganga njaa anayetumia jobless people kushibisha tumbo lake. Naishangaa serekali kufumbia macho jambo hili kwa muda wote huu. Huu ni UDHAIFU mkubwa wa serekali ambao hautakaa ufutike katika vitabu vya historia ya tanzania ya kwamba tguliwahi kuwa na uongozi mbovu kuliko vipindi vyote.
 
Endeleeni kulumbana, tunawasikiliza. Sokomoko, hicho kiwanja cha ekari 100 kwa ajili ya kujengea chuo kikuu kiko wapi na kinafanyiwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Nawashangaa wanaomuunga mkono Ponda. Mie wala asiwezi kumuita sheikh kwasababu hana sifa hiyo! Ni mganga njaa anayetumia jobless people kushibisha tumbo lake. Naishangaa serekali kufumbia macho jambo hili kwa muda wote huu. Huu ni UDHAIFU mkubwa wa serekali ambao hautakaa ufutike katika vitabu vya historia ya tanzania ya kwamba tguliwahi kuwa na uongozi mbovu kuliko vipindi vyote.

wanasema "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI"
 
Asalam alaikum,

Habari za masiku ndugu zanguni.

Naanza kwa jina la Mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake! mwenye kujua ya dhahiri na ya siri (yaliyo mioyoni mwetu) na rehma zimfikie kipenzi chetu Muhammad SAW.

Je Ponda ni nani?

Mimi awali nilikuwa najua Ponda na Kundecha kuwa ni wanaharakati wenye kupigania haki za waislamu lakini imeniuma sana kujua undani wa hawa watu! Mimi ni mwislamu na siku zote nilikuwa naona jamaa wanafanya kazi kwa maslahi ya umma wa kiislamu lakini kumbe kuna mambo nyuma ya pazia.

Manji Vs Ponda & Co

Kuna uwanja ambao ulikuwa mali ya East African Muslim Welfare Society na kurithishwa kwa bakwata sehemu ya eneo lile ambalo lipo maeneo ya chang'ombe bakwatwa ililiuza/gawa kwa jumuia ya shia ismailia ambao na wao walikuwa wana hisa kwenye East African Muslim Welfare Society na Ismailia wakamuuzia Manji.

Mkiangalia hapo juu hakuna mgogoro wowote wa kati ya Manji na Waislamu ila kina Ponda inavyoonyesha walikodiwa ili kuweka mazingira ya kumfrastrate manji apauze kwa bei poa.

Leo tumuulize Ponda alilipwa kiasi gani kuhakikisha Manji hapamiliki pale? na kwanini walinyamaza baada ya manji kukitema kiwanja kile? Kwa akili ndogo ya kuzaliwa utajua kuwa Ponda & Co walitumika kufanya umafia ili kiwanja kipatikane kirahisi.

Kukamatwa kwa Ponda.

Kuna eneo ambalo limebakia kwenye kiwanja cha East African Muslim Welfare Society ambacho kinasemekana kuuzwa miaka minne au mitano iliyopita Ponda na group lake walivamia siku ya Ijumaa na kujenga msikiti wa muda na kuweka mabaunsa na baadhi ya waumini kwa madai kuwa kiwanja ni cha waislamu! yale yale yaliyomkuta Manji! na habari za chini ya kapeti ni kuwa Ponda na watu wake wamelipwa 15 Mil kumobilize uvamizi ule!

Huyu jamaa anatumiwa kwa kuwa anaushawishi kwenye jamii yetu ya waislam lakini leo hii kama Mungu atadhihirisha kuwa anayoyafanya hayafanyi kwa ajili ya waislamu ila kwa maslahi ya mabwana zake basi nadhani shingo yake itakuwa halali ya Waislamu. Kwani wale waliokamatwa jana usiku pale Chang'ombe wengi wao hakupata mgao wa tajiri anaepataka pale zaidi ya chai ya asubuhi chakula cha mchana na maji ya chupa!

Najua kuna wanahabari humu jamvini mkimuhoji jaribuni kumhoji issue ya manji iliishaje? je walilipwa nini baada ya kufanikisha zoezi lile?

Narudia waislamu ifike muda tuchukue muda wa kufikiria tusikubali kuburuzwa na viongozi wanaoangalia matumbo yao na kusababisha matatizo kwa waislamu wasiojua set up ya matukio husika.

Ahsanteni sana na ni matumaini yangu mmepata kitu juu ya mada hii.

Mm sijapata chochote zaidi ya kupoteza mda wangu kuusoma huu rUbsh ulouandka
 
Wewe Sokomoko unahitaji kubatizwa haraka, ili uonje utamu wa ..................
 
mleta mada mains umepata wapinzani wengi ambao haeajajibu hoja, ninachoona Mimi ni majibu ya chuki na ushabiki tu. wajibu hoja basi ilituelewe kama hoja zako no za kweli au no zauongo.
 
Ahsanteni sana na ni matumaini yangu mmepata kitu juu ya mada hii.[/QUOTE
toa pumba zako hapa weka ushahidi....mnafiki mkubwa weye.
 
Sokomoko wewe ni muislam mwerevu! Respect nimemjua Kundecha na Ponda
Umeshausikiliza upande wa pili (wa kina Sheikh Ponda) nao unasema nini kabla ya kutangaza "kuwajua" kina Sheikh Ponda kwa mada iliyoletwa na upande mmoja tu?!
...Nilikuwa nikifikiri kuwa nawe ni mtu unayefikiria kwa kutumia kichwa chako!
 
Very very detailed report kwanini magazeti yetu hayayaandiki haya? kuna nini?

Mkuu! tuna tatizo kubwa sana haswa ktk upande wa habari, wanahabari wetu sio wajasiri sana, uvivu wa kutafuta habari muhimu kama hizi sababu ya kuzoea ku copy-paste culture. Hili ni tatizo sana ktk mapinduzi ya amani na maendeleo ktk nchi.
 
Waandishi wetu nawao ni wana maslahi kama Ponda Taifa hili limegeuka kuwa la watu wenye kujali maslahi yao binafsi. Lakini kila kitu kipo wazi inabidi wanajamii tutumie muda wetu kuielimisha jamii ili habari zao ikifika muda ziwe haziuziki!
 
mleta mada mains umepata wapinzani wengi ambao haeajajibu hoja, ninachoona Mimi ni majibu ya chuki na ushabiki tu. wajibu hoja basi ilituelewe kama hoja zako no za kweli au no zauongo.

Kuna hoja za kujibu na kuna hoja za kuzipotezea mkuu, ikiwa madai yangu yameambatana na facts kutoka sources tofauti ambazo mwenye macho na ubongo ni lazima akisoma ataridhika na kile ninachokiona mimi.

Ifike mahali waislamu waseme basi! wasiburutwe kwa maslahi ya masheikh ambao hawana uzalendo juu ya dini yao zaidi ya kuwa na uzalendo wa nafsi zao (ponda) mmoja wao!
 
Mm sijapata chochote zaidi ya kupoteza mda wangu kuusoma huu rUbsh ulouandka

“Na Tumeiumbia Jahanamu majini wengi na watu. Wana nyoyo, lakini hawafahamu kwazo. Na wana macho, lakini hawaoni kwayo. Na wana masikio, lakini hawasikii kwayo. Hao ni kama nyama howa, bali wao ni wapotofu zaidi. Hao ndio walio ghafilika” (7: 179).
 
he inatakiwa tuwe tunachunguza vitu kwanza sio kila kitu tunachoambiwa na kina ponda kina ukweli mie nilishagundua kwamba huyu jamaa ni mtu wa maslahi pale alipochukua milion 6.7 kutoka kwa vyama flani vya siasa ili kuvuruga sensa nikipata data kamili nitairusha
 
mimi nataka nii weke hii hadithi yako kama hivi...
ikulu ya tanzania pale magogoni ni eneo la ikulu mali ya watanzania ni sehemu maulum kama maakazi ya rais.
lakini pale kuna viwanja mule ndani vingi sana , hivyo Kikwete aone ya kwamba viwanja hivi tunaweza kuuza then amwite Renigald Mengi amkatie , na upande mwengine amkatie Rostam Aziz, awape kwa halali kabisa na kwa kutoa hati miliki !!! sasa hiii itakaa vipi hapa?
ukiona kwamba kikwete alichofanya sawa basi bakwata walichofanya sawa lakini kama kuuza viwanja vya ikulu sio sawa basi na kuuza mali za waislam sio sawa
 
Back
Top Bottom