Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
MJUE MTU ANAEINGIZA PESA NYINGI DUNIANI LAKINI HAJAWAHI KUTAJWA KAMA TAJIRI.
Jarida la Forbes limekuwa likiwataja watu kama Jeff Berzon, Billgates, Mark na wengineni,
Lakini kuna mtu anajulikana kama Ratan Tata, mwenyekiti na mrithi wa Tata enterprise yenye kumiliki zaidi ya makampuni makubwa 90 duniani.
Huyu ndiye binadamu anayeingiza pesa nyingi kuliko wote duniani.
Kati ya makampuni anayomiliki ni Tata motors, Tata steel, Tata Chemicals, Tata Consultance, Tata engineering, Tata, Tata beverages, Tata power e.t.c.
Ndani ya India katika kila makampuni matano makubwa, 4 lazima yawe na mkono wa Tata.
Yeye ameingiza kipato cha (USD) $130 billions, lakini kwanini hatajwi kama tajiri namba moja duniani?
Ni kwamba kampuni zake za Tata, zinatoa 65% ya mapato yake kwa shughuli za kijamii kama kuhudumia watoto yatima, afya, michezo nakadhalika.
Hivyo mapato yanayo orodheshwa chini yake si zaidi ya 1$ billions USD.
Na siyo kwamba anatoa hiyo hela India tu, hapana anaitoa worldwide.
Aliwahi toa msaada wa USD 50 milion kwa chuo cha Harvard kitengo cha biashara (Harvard Business School).
Ni msaada mkubwa kuliko yote uliowahi kutolewa na mfadhili yeyote wa kimataifa kwa chuo hicho.
Hivi mnajua kama Tata motors alinunua kampuni ya magari ya Uingereza inayotengeneza magari ya Range rover mwaka 2015.
Huyo ndo Tajiri Ratan Tata.
Na Emmanuel Kasomi