Mjue Rais Alberto Fujimori asiye na asili ya nchi aliyoiongoza

Ilikuaje mpka akafikia kuwa rais.....alipitaje........means kote alikopita hawakua na cv yake
Cv zote alizowasilisha zilikua feki mpaka wadadisi wa mambo hasa gazeti la uchunguzi Caretas kuanza kusikia jina hilo Japan ndipo walipoingia kazini na kufukunyua yote
 
Unamuongolea jamaa muongo muongo lakini internal disk yake kimeo kwa kutotunza kumbukumbu......!

Hata yule anayotuonesha kuwa ni mama huwa siamini mpaka kesho,likienda misungwi linawaambia eti limezaliwa pale na ukoo wote uko pale,likienda Simiyu linawadanganya hivyo,likienda Geita ndo usisema,likifika Mara linajiita lizanaki lakini kesho yake likikanyaga tu Bukoba limekuwa "lizirankende" mi sikuwahi kumuona mtu muongo kama huyu jamaa
Jamaa ni li rundi, ndo maana halieleweki lilizaliwa wapi na hospitali gani
 
Rais Fujimori aliongoza Peru kwa muda mrefu kuanzia 28/julai 1999 mpaka uongozi wake ulipokoma 22/ Novemba 2000, Alberto fujimori ndio jina lake na mwenye asili ya Japan, baada ya maovu mengi nchini humo ikiwemo kuunda vikosi vya kuteka watu wake, kujiingiza kwenye rushwa na vitendo vingine vingi, gazeti moja nchini humo lilimfuatilia kwa kina na kupata ushahidi kwamba Fujimori alizaliwa mjini Kumamoto nchini Japan na aliingia Peru akiwa na miaka minne akiwa na mama yake mzazi,kwa mujibu wa gazeti la kiuchunguzi la Caretas lilidai kuwa na ushahidi kwamba Fujimori alizaliwa nchini Japan katika mji wa baba yake maeneo ya Kawaichi, Kumamoto na walihamia pamoja na mama yake nchini Peru mwaka 1934 kwa sifa hizo alikosa sifa ya kuwa Rais wa Peru, lakini kumbukumbu zake serikalini zilionesha alizaliwa mwaka 1938 mjini Miraflores wilaya ya Lima Peru

Fujimori alikuja kushtakiwa kwa makosa ya rushwa na utesaji ndipo alipokimbilia nchini Chile na akiwa Chile aliliandikia bunge ujumbe wa kujiuzulu kwa njia ya Fax nafasi ya Urais, lakini bunge lilimkatalia na kumtaka arudi Peru ili apigiwe kura ya kutokua na imani nae ili apate heshima nchini mwake, Fujimori aligoma kurudi ndipo idara za usalama za Peru na Chile ziliposhirikiana na kumkata kumrudisha Peru hatimae akakabiliana na mashtaka ya rushwa, utekaji na utesaji na kuhukumiwa miaka 25 jela.
Wenye akili tumekuelewa ila umekosea. Pole sana
 
Mwaka mmoj

Mwaka mmoja tu na miezi 4 ndio unasema alitawala muda mrefu?
 
Mi mwenyewe Nina mpango Wa kugombania urais nchini Afrika Kusini,wabongo mtapeta sana kwenye uongozi wangu
Nalog off
 
Back
Top Bottom