Mjue Rais Alberto Fujimori asiye na asili ya nchi aliyoiongoza

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,939
Rais Fujimori aliongoza Peru kwa muda mrefu kuanzia 28/julai 1999 mpaka uongozi wake ulipokoma 22/ Novemba 2000, Alberto fujimori ndio jina lake na mwenye asili ya Japan, baada ya maovu mengi nchini humo ikiwemo kuunda vikosi vya kuteka watu wake, kujiingiza kwenye rushwa na vitendo vingine vingi, gazeti moja nchini humo lilimfuatilia kwa kina na kupata ushahidi kwamba Fujimori alizaliwa mjini Kumamoto nchini Japan na aliingia Peru akiwa na miaka minne akiwa na mama yake mzazi,kwa mujibu wa gazeti la kiuchunguzi la Caretas lilidai kuwa na ushahidi kwamba Fujimori alizaliwa nchini Japan katika mji wa baba yake maeneo ya Kawaichi, Kumamoto na walihamia pamoja na mama yake nchini Peru mwaka 1934 kwa sifa hizo alikosa sifa ya kuwa Rais wa Peru, lakini kumbukumbu zake serikalini zilionesha alizaliwa mwaka 1938 mjini Miraflores wilaya ya Lima Peru

Fujimori alikuja kushtakiwa kwa makosa ya rushwa na utesaji ndipo alipokimbilia nchini Chile na akiwa Chile aliliandikia bunge ujumbe wa kujiuzulu kwa njia ya Fax nafasi ya Urais, lakini bunge lilimkatalia na kumtaka arudi Peru ili apigiwe kura ya kutokua na imani nae ili apate heshima nchini mwake, Fujimori aligoma kurudi ndipo idara za usalama za Peru na Chile ziliposhirikiana na kumkata kumrudisha Peru hatimae akakabiliana na mashtaka ya rushwa, utekaji na utesaji na kuhukumiwa miaka 25 jela.
 
Nadhani hata ...... pia ni hivyo hivyo mtu alikuja na mama yake mgongoni maana haijulikani alozaliwa hospitali gani wala mahali gani wewe ukitaka kujua angalia historia yake kuna sehemu inarukwa wanasema alizaliwa mwaka fulani akasoma shule fulani ila hawasemi alizaliwa wapi
 
Rais Fujimori aliongoza Peru kwa muda mrefu kuanzia miaka ya 90 mpaka uongozi wake ulipokoma mwaka 2000, Alberto fujimori ndio jina lake na mwenye asili ya Japan, baada ya maovu mengi nchini humo ikiwemo kuunda vikosi vya kuteka watu wake, kujiingiza kwenye rushwa na vitendo vingine vingi, gazeti moja nchini humo lilimfuatilia kwa kina na kupata ushahidi kwamba Fujimori alizaliwa mjini Kumamoto nchini Japan na aliingia Peru akiwa na miaka minne akiwa na mama yake mzazi,Fujimori alikuja kushtakiwa kwa makosa ya rushwa na utesaji ndipo alipokimbilia nchini Chile na akiwa Chile aliliandikia bunge ujumbe wa kujiuzulu nafasi ya Urais, lakini bunge lilimkatalia na kumtaka arudi Peru ili apigiwe kura ya kutokua na imani nae ili apate heshima nchini mwake, Fujimori aligoma kurudi ndipo idara za usalama za Peru na Chile ziliposhirikiana na kumkata kumrudisha Peru hatimae akakabiliana na mashtaka ya rushwa, utekaji na utesaji na kuhukumiwa miaka 20 jela.

Ndiyo maana alikuwa dikteta kwa sababu hakuwa na uchungu kwa kumwaga damu za wananchi
 
inasemekana jiwe ni RAIA wa nchi jirani naye atakimbiliaa visiwa vya Madagascar, au Comoro, lakini kwa kushirikana na serikali za visiwa hivi atarudishwa aje kujibu mashutaka ya, kuhujumu uchumi, kutumia madaraka vibaya
 
Nadhani hata ...... pia ni hivyo hivyo mtu alikuja na mama yake mgongoni maana haijulikani alozaliwa hospitali gani wala mahali gani wewe ukitaka kujua angalia historia yake kuna sehemu inarukwa wanasema alizaliwa mwaka fulani akasoma shule fulani ila hawasemi alizaliwa wapi
USIJICHOSHE AKILI, TUNAJUA KUWA ALIKUJA AKIWA NA MAMA YAKE AKIWA NA MIAKA 4, KUPITIA MPAKA WA BUKOBA...AKAHIFAFHIWA GEITA MAENEO YA CHATO.
 
Back
Top Bottom