Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,582
- 10,111
Watu wengi ikiwemo mimi tulikiwa hatujui kuwa aliwahi kuwako pope mwanamke kunako karne ya 9
Aitwaye pope Joan Anglicus. Tafuta taarifa zaidi
Nadhani hujaelezea why ikawaje akaitwa hivyo. Kwanza kabisa ilitokea middle ages, ni mwanamke alie elimika sana kiasi kwamba aliweza ku ji disguise as a man, na akapanda chat kama padri mpaka nafasi hiyo.View attachment 3322159
Watu wengi ikiwemo mimi tulikiwa hatujui kuwa aliwahi kuwako pope mwanamke kunako karne ya 9
Aitwaye pope Joan Anglicus. Tafuta taarifa zaidi
Naam MkuuNadhani hujaelezea why ikawaje akaitwa hivyo. Kwanza kabisa ilitokea middle ages, ni mwanamke alie elimika sana kiasi kwamba aliweza ku ji disguise as a man, na akapanda chat kama padri mpaka nafasi hiyo.
Ilikuwaje akagundulika kuwa ni mwanamke, ni baada ya kujifungua during papal procession
na story hii ni 16th century.
View attachment 3322159
Watu wengi ikiwemo mimi tulikiwa hatujui kuwa aliwahi kuwako pope mwanamke kunako karne ya 9
Aitwaye pope Joan Anglicus. Tafuta taarifa zaidi
PengineUongo uwo
Taarifa kama hizi ukiwasimulia jamaa zako akina Malaria 2, watakuamini. Ila sisi wengine, kwa kweli utasubiri sana.View attachment 3322159
Watu wengi ikiwemo mimi tulikiwa hatujui kuwa aliwahi kuwako pope mwanamke kunako karne ya 9
Aitwaye pope Joan Anglicus. Tafuta taarifa zaidi
UsinipangieKama huwezi kuleta uzi wenye taarifa za kutosha ACHA.
Fikiria kila mtu alete uzi wa ovyo kama huu jf itakuwaje?
We fala tu🤣🤣Taarifa kama hizi ukiwasimulia jamaa zako akina Malaria 2, watakuamini. Ila sisi wengine, kwa kweli utasubiri sana.