Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,894
- 168,259
Huyu ndiye Pepo mama wa matatizo yote.
Matatizo ya magonjwa, kiuchumi, kifedha, kimahusiano Na kadhalika huratibiwa Na Pepo huyu mchafu.
Akikuingia Pepo huyu, atamkaribisha Pepo wa ngono.
Pepo wa ngono atakutumikisha kufanya ngono hovyo Na kukupelekea kufilisika Na kukumbwa na mikosi Na mabalaa mbalimbali.
Pepo wa ngono
Pia Pepo mchafu atamkaribisha Pepo wa ufukara.
Huyu atahakikisha hufanikiwi kiuchumi, Kila biashara utakayofanya hata ukijipa faida kubwa kiasi gani, hautofaidika Na kipato hicho.
Utaandamwa Na madeni Na Pepo huyu Huwa ana msaidizi wake ambaye anaitwa chuma ulete.