Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,439
- 7,977
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]Inaonekana supu na nyama yake ni vitamu sana.
Ukitaka kujua mziki wake jifanye kama unataka kumdhuru....anaweza kusimama robo 3 ya mwili wake!na akakuangalia usoni..
sumu yake aina ya neurotoxin yenye protin nyingi.
akikuuma sumu yake inaenda kushut down nervous system ambayo hupelekea kuparalyze kisha mfumo wa hewa kushindwa kufanya kazi na kufa ndani nusu saa au lisaa!
ni nyoka mpole sana na hujiepusha na wanyama wakubwa kumzidi ikiwemo binadamu...
sababu hata akikuuma hawezi kukumeza!kwann akukimbize!
ukimuona porini kwa bahati mbaya we shika njia yako na yeye ataenda yake sababu hapendi ugomvi usiomuhusu
Haka kathread kanajirudia sana hapa JF..KOBOKO(BLACK MAMBA) Nyoka pekee mwenye spidi ya Kasi kuliko Nyoka wote duniani, Ni Nyoka wa kwanza kuwa na Sumu kali barani Afrika na ni Nyoka wa pili mrefu mwenye Sumu kali baada ya King cobra anayepatikana India. Koboko anakuwa na kufika Hadi urefu wa futi 14 na ana rangi ya kijivu na kahawia.
Sumu yake inauwezo wa kuua watu 20 kwa kuuma mara moja, koboko ni Nyoka anapenda kuishi kwenye vichaka, vilima vyenye mawe mengi, mbugani na porini.
Ukikuta koboko wanapigana usiwafukuze utakuwa mtu moja mwenye bahati sana,kwasababu moja akiumia mwingine anaenda kumtafutia dawa na kumletea mwenzake, ukimfatilia huyo anakwenda kufata dawa utakuwa umejua dawa ya Sumu ya nyoka,inasemekana anachukua dawa aina tatu Ila chunga Sana asije akakuona unamfatilia atakukimbiza hadi akuume.
Kumuua Nyoka huyu sio mchezo kwasababu ni Nyoka mwenye Sumu kali Sana na ni Nyoka ambaye mwendo wake ni wa spidi ya kasi, ukifanikiwa kumuua hakikisha umemchimbia shimo refu na kumfukia kwasababu mifupa yake ni Sumu ukikuchoma huponi.
View attachment 1851195
Utakuwa umewafananisha.... koboko kama koboko umshike kirahisi? Huyu ibilisi ni heri upambane na chuiNimewashika sana hawa
Mjomba..hiv speed ya 16km/h unsijua jinsi ilivyo slow...Black Mamba - Ni miongoni mwa Nyoka wenye Fastest Speed ulimwenguni anakadiriwa kuwa na Maximum Speed ya 16km/h.
Vice versa,...nyoka ni kiumbe humble na mpole na mwoga kuliko viumbe vingne vyote..na ndomana anaish kwa kujificha sana akiogopa kifo..huwez mwona kizembe kama unavyoona mende au kuku...ni sabab anajua akionekana tu ni anauwa..na ndomana muda wote huwa anajificha jificha maskin ya mungu.Ukitaka kujua mziki wake jifanye kama unataka kumdhuru....
Amin amin nakuambia chini ya nusu saa utakuwa umeshakuwa historia. Nyoka ana kisirani na roho ya kikatili kama Hittler.
Usithubutu kumfanyia masihara huyu nyoka laanakum kabisa...
Yawezekana uko sahihi. Labda huyu koboko sio nyoka. Atakuwa ndo yule kiumbe alimdanganya Hawa akampa tunda Adam...Vice versa,...nyoka ni kiumbe humble na mpole na mwoga kuliko viumbe vingne vyote..na ndomana anaish kwa kujificha sana akiogopa kifo..huwez mwona kizembe kama unavyoona mende au kuku...ni sabab anajua akionekana tu ni anauwa..na ndomana muda wote huwa anajificha jificha maskin ya mungu.
Nadhani yeye kalinganisha speed na jamii nyingine za nyoka. Hakunaanisha kwamba hiyo ni speed kali sana. Kwa kifupi labda alitaka kusema koboko ni Usain Bolt wa manyoka...Mjomba..hiv speed ya 16km/h unsijua jinsi ilivyo slow...
Askari wa JWTZ anaua uyo nyoka vizuri tuKOBOKO(BLACK MAMBA) Nyoka pekee mwenye spidi ya Kasi kuliko Nyoka wote duniani, Ni Nyoka wa kwanza kuwa na Sumu kali barani Afrika na ni Nyoka wa pili mrefu mwenye Sumu kali baada ya King cobra anayepatikana India. Koboko anakuwa na kufika Hadi urefu wa futi 14 na ana rangi ya kijivu na kahawia.
Sumu yake inauwezo wa kuua watu 20 kwa kuuma mara moja, koboko ni Nyoka anapenda kuishi kwenye vichaka, vilima vyenye mawe mengi, mbugani na porini.
Ukikuta koboko wanapigana usiwafukuze utakuwa mtu moja mwenye bahati sana,kwasababu moja akiumia mwingine anaenda kumtafutia dawa na kumletea mwenzake, ukimfatilia huyo anakwenda kufata dawa utakuwa umejua dawa ya Sumu ya nyoka,inasemekana anachukua dawa aina tatu Ila chunga Sana asije akakuona unamfatilia atakukimbiza hadi akuume.
Kumuua Nyoka huyu sio mchezo kwasababu ni Nyoka mwenye Sumu kali Sana na ni Nyoka ambaye mwendo wake ni wa spidi ya kasi, ukifanikiwa kumuua hakikisha umemchimbia shimo refu na kumfukia kwasababu mifupa yake ni Sumu ukikuchoma huponi.
View attachment 1851195
Labda hajakutana na mjedaUkitaka kujua mziki wake jifanye kama unataka kumdhuru....
Amin amin nakuambia chini ya nusu saa utakuwa umeshakuwa historia. Nyoka ana kisirani na roho ya kikatili kama Hittler.
Usithubutu kumfanyia masihara huyu nyoka laanakum kabisa...
Labda atakuwa KifutuUtakuwa umewafananisha.... koboko kama koboko umshike kirahisi? Huyu ibilisi ni heri upambane na chui