ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,874
- 90,384
Kwa sababu Mimi sio chawa mkuuKulikoni ukakosa mgao?
Kwa sababu Mimi sio chawa mkuuKulikoni ukakosa mgao?
Nakazia zaidiNAKAZIA
Kama Hana akili akili haiwezi.natoa comment pasipo kusoma uzi ,nimesoma heading tu
TUISHI NAO KWA AKILI HAWA WATU
natoa comment pasipo kusoma uzi ,nimesoma heading tu
TUISHI NAO KWA AKILI HAWA WATU
Suala la kuzaa au kutozaa lipo ndani ya uwezo wa mwanamke huwezi kumzalisha mtu kama yeye hajaamua kuzaa. Kwa hiyo mwanaume ukiona mkeo anazaa non stop usijisifie ukaona kuwa umemkomesha, ameamua tu kuzaa asingetaka asingezaaDawa ziko mbili;
1. Zalisha nonstop.
2. Housewife.
Ukiweza hapo domo lote litakata.
Nadhani hujakutana na changamoto ya kunyimana wewe, utazalishaje nonstop?Dawa ziko mbili;
1. Zalisha nonstop.
2. Housewife.
Ukiweza hapo domo lote litakata.
We msikilize tu ila usilumbane naye.Sasa itakuwajeee!!!
Namzalisha bila yeye kujua intention yangu. Mapacha wa nje alee hadi mdomo umkome[emoji1787]Suala la kuzaa au kutozaa lipo ndani ya uwezo wa mwanamke huwezi kumzalisha mtu kama yeye hajaamua kuzaa. Kwa hiyo mwanaume ukiona mkeo anazaa non stop usijisifie ukaona kuwa umemkomesha, ameamua tu kuzaa asingetaka asingezaa
Maneno ya hekima kabisaSuala la kuzaa au kutozaa lipo ndani ya uwezo wa mwanamke huwezi kumzalisha mtu kama yeye hajaamua kuzaa. Kwa hiyo mwanaume ukiona mkeo anazaa non stop usijisifie ukaona kuwa umemkomesha, ameamua tu kuzaa asingetaka asingezaa
Nimecheka sanaLazima limekukuta Jambo [emoji1787]
Mapacha wa nje ndio wepi hao? Yaani unazaa nje ya ndoa?Namzalisha bila yeye kujua intention yangu. Mapacha wa nje alee hadi mdomo umkome[emoji1787]
Ni bora awe muongeaji ila heshima iwepoUsioe mwanamke muongeaji ili kuepuka sana.
Mwanamke yeyeto chiriku kimbia kabisa usigeuke nguzo ya chumvi.
Watoto waliofatana mkuu.Mapacha wa nje ndio wepi hao? Yaani unazaa nje ya ndoa?
bado mzee nina kama mwaka hv nimejipa likizo sina mahusiano yoyoteUmeshaoa mkuu?
Sio rahisi, heshima na uongeaji haukai nyumba mojaNi bora awe muongeaji ila heshima iwepo
sio wote japo wengi ninaowajua mimi wapole wana heshima sana aise....Sio rahisi, heshima na uongeaji haukai nyumba moja