Anza sasa hivi kujiandaa ili usije kuangukia kwa mwanamke mjuaje mkuu 😂bado mzee nina kama mwaka hv nimejipa likizo sina mahusiano yoyote
😂Naongezea huwa pia wana tabia ya kuwa waongo...
Nilijua tu utaleta huu mtazamo wako 😂Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,
Hakuna mwanamke mjuaji mbele mwanaume mwenye Hela na mamlaka.
Kisha?Muache
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Angalia usiwafanye baadhi ya watu kuruka maji na kwenda kukanyaga moto.
Huo ushauri wako unawahusu wanaume magaidi pekee
Uchumi bado sijasimama chief...nina mawazo haswaa yani acha kabsa wacha nijiweke sawa hata kidogo tu kimaishaAnza sasa hivi kujiandaa ili usije kuangukia kwa mwanamke mjuaje mkuu 😂
Uchumi bado sijasimama chief...nina mawazo haswaa yani acha kabsa wacha nijiweke sawa hata kidogo tu kimaisha
One man down [emoji23][emoji23]Lazima limekukuta Jambo [emoji1787]
May be 😂One man down [emoji23][emoji23]
🤣🤣Si bureLazima limekukuta Jambo 🤣