Mjue Mungu wa Freemasonry

Hapa chini yesu wako hakudanganya?

Mathew 16:28
"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom." .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unashangaa nini inamaana wanadamu wooote watauwa/ kufa ndio ule mwisho uje??

Hapana nakupa mstari huu[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]


1 The 4:13-18 SUV

Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]

Nadhani umeelewa kuna watakaokutwa wakiwa hai.
 
Hujaelewa

Yesu alikuwa anawaambia waliokuwa mbele yake wakati wa hayo mafundisho yake kuwa wapo waliokuwa pale hawatakufa mpaka atakaporudi. Je hadi leo hawajafa?
 
Daaaah haya mambo ya Mungu kuna Mahali tunalishwa upepo aisee ila ngumu kuelewa nani ndio yuko sahihi.
Shida wengi wanafikiria mambo ya kiroho katika namna ya kimwili, kwamba Mungu anaonekana kwa namna fulani kama binadamu au anatabia kama za binadamu, kwenye ulimwengu wa kiroho kuna nguvu(energy )tu, hata kusema kua Mungu ana part 2 haimaanishi ya kwamba ana maumbile ya binadamu wa kike na kiume (kuna masculine na feminine energies na hizi ndio zinazohusika katika uumbaji.. aka .. manifestation .... binadamu wa kiume na kike wameumbwa kuziwakilisha tu hizi nguvu. Kwa wachina kuna yin and yang....kwa jamii za mashariki ya kati ndo hio soph na aur)
 
Hatari na nusu mkuu
 
Tatizo hii Imani ya Freemason imefanywa Siri sana mpaka inakuwa ngumu kuelewa nada yote kwa muda mfupi, Ila sio mbaya taratibu tutaelewa Imani ya hawa wenzetu! Je wana kitabu chao cha muongozo kwenye Imani yao kama ulivyo kwenye Imani nyingine?
 
Mkuu nimejitahidi kusoma yote, lakini naomba kufahamu chanzo chao cha taarifa hii yote walipata kwa nani?
 
Hapa chini yesu wako hakudanganya?

Mathew 16:28
"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom." .
sasa uongo uko wapi mkuu?ufalme wa Mungu uko ndani yako.Alivyoondoka badae kidogo watuw si walijazwa roho mtakatifu?jamaa kasema hapo yesu alikuja kutusanua according to FM .Au bado unaamini yesu atakuja tena? Yani physically?
 
hao masonic wameumbwa na NANI.
tuanzie hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…