Mjue Mungu wa Freemasonry

Kumbe dini za hapa Duniani olmost ni zile zile tuu isipokuwa njia zinazotumika kufikia lengo ndio tofauti.

Sasa mbona watu wameibrand Freemasonry kana kwamba ni uchawi? Kumbe wao Wana kanuni zao ukizifuata unakuwa na kauwezo fulani tofauti na wengine, walokole wanaita kujazwa roho mtakatifu hadi wananena kwa lugha
 
Tatizo linakuja Sophia yeye yupo katika roho tu na sio katika mwili. Na mwanadamu ni roho iliyo fungwa kwenye mwili lakini haijitambui Kama ni roho. " IF TWO QUALITIES CANNOT MEET IN SUBSTANCE, THEY CAN BE BROUGHT TOGETHER ONLY BY EXTENSION.

Sasa alipokuja kwa Adam ulisema alikuja kwenye umbile la nyoka! wakati nyoka ni mnyama sasa aliwezaje kuingia katika umbo la mnyama nyoka na wakati umesema ni roho isiyoweza kuingia katika mnyama?
 
Re incarnation
 
Technically asingeweza kukaa peke yake,kwa kuwa kuzaa kwake haiwezekani na ana uwezo wa kufinyanga bila shaka alifinyanga kiumbe wa kufanana nae
 
Kwa nukuu hii wala hakuna shida maana huyu Yesu na hayo maneno yapo kwa Freemasonry pia.Baada ya Yesu kuna Mungu Mkuu ambae ndio huyo sehemu ya Yesu na ambae Freemasonry wanamuamini badala ya huyu Mungu wa Wayahudi
 
JamiiForums 20

40 Na mzitumie akili, fikra na uwezo wenu mliopewa na Mungu kuutafuta ukweli, msiendeshwe kama ng'ombe malishoni na maji mitaroni na watu wachache wa kale walioziweka fikra zao kuwa sheria.
Unajua maana ya "AWAKENING" haya endelea na werevu wako

Mt 11:25-26 SUV

Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.

Acha niwe LING'OMBE[emoji243][emoji233]
 
Kwa nukuu hii wala hakuna shida maana huyu Yesu na hayo maneno yapo kwa Freemasonry pia.Baada ya Yesu kuna Mungu Mkuu ambae ndio huyo sehemu ya Yesu na ambae Freemasonry wanamuamini badala ya huyu Mungu wa Wayahudi
Umemsoma vizuri?? Anasema baada ya Mungu kuna Mwingine mkuu zaidi ambaye ulimwengu haumjui. Read between the lines mkuu
 
Hapa chini yesu wako hakudanganya?

Mathew 16:28
"Truly I tell you, some who are standing here will not taste death before they see the Son of Man coming in his kingdom." .
 
Mkuu freemasonry sizani kama wanatumia nguvu nyingi kuitangaza watu ndio wanawafwata wao hamana sehemu utakuta wao wanatafuta waumini mkuu nazani pia hawataki watu wajue hili swala kama siko sahihi unieleweshe hapoo
Well said
 
Freemansory wamejitahidi sana kutengeneza fanatics ambazo zimegeuka kuwa secret and indeed secret kwa binadamu wengine.

Kitu kibaya wanachokifanya ni kuwabagua wanadamu wengine kwamba hawana akili na ubunifu kama wao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…