Mjue Mungu wa Freemasonry

Wanasema huyo nyoka ndio alikuja kutukomboa wanadamu. Bila yeye Hadi leo tungekuwa Kama wanyama..

Wanasema Kama huyo nyoka ni shetani ( Lucifer) BASI Lucifer ana nguvu kuliko Ialdabaoth kwa sababu ameweza kupangua mipango yake ( kuwaweka Adam na Hawa bustanini waishi kwa Raha mustarehe maisha yao yote)
 
Napata shida mungu huyo mkuu sehemu yake ya kike kuwa reflected by light kisha kuwa trapped hii inamaanisha kuna The most high na sii huyu ambae ukike wake umekua reflected
 
Napata shida mungu huyo mkuu sehemu yake ya kike kuwa reflected by light kisha kuwa trapped hii inamaanisha kuna The most high na sii huyu ambae ukike wake umekua reflected
Mungu ni huyo huyo mmoja . Ana part zote mbili yani feminine na masculine. Ile masculine ndio ilikuwa trapped then akatokea Ialdabaoth.
 
Mungu ni huyo huyo mmoja . Ana part zote mbili yani feminine na masculine. Ile masculine ndio ilikuwa trapped then akatokea Ialdabaoth.
Ndio nasema mpaka akawa trapped means kuna the highest power ambayo yeye can not stand

By the way nasuburi muendelezo maana unatufumbua kwa tusiyo yajua
 
Ndio nasema mpaka akawa trapped means kuna the highest power ambayo yeye can not stand

By the way nasuburi muendelezo maana unatufumbua kwa tusiyo yajua
Baada ya Kama dakika thelathini nitaielezea hii hoja kwa lugha nyepesi na ya kibinadamu...utaelewa vizuri. But inshort alikuwa trapped kwa sababu she was very very powerful. Kivuli chake kilikuwa reflected kwenye eneo Hilo Kisha kikawa trapped. Yani sawa na Mungu ashuke duaniani Kisha akanyage kwenye jiwe halafu Alama za unyayo wake zibaki kwenye Hilo jiwe.. This is what am talking about.

Hapo huwezi kusema jiwe ndio Lina nguvu kwa sababu Alama za miguu ya Mungu zimebaki kwenye jiwe Hilo ila utasema Mungu ndio ana nguvu kwa sababu amekanyaga kwenye jiwe na Alama zake zimebaki mahali hapo. Hii ndio concept yao
 
Shukran nimekuelewa hapa
Ntaomba maelezo pia a part you said habari ya watoto wa fatima, wamefanyaje? Kuna nn kwao?
Shukran
 
Nope ana part zote mbili ya mwanamke na mwanaume. Ya mwanamke inajulikana Kama Sophia na ya mwanaume ni Aeon.
kuna kitabu nasoma wameelezea vizuri sana huyu jamaa ni mtu mweusi anaelezea imani ya wa misri wa zamani waliojenga yale ma pyramids ambao nao walikua ni watu weusi.......hizi dini alizotuletea mzungu ameficha vitu vingi sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…