Mjue Mungu wa Freemasonry

Freemasons hawa jamaa wanajitahidi sana kusaidia watu na kutoa mapesa mengi sana.

Kwenye vikao/ibada zao wanahamasishana sana kuchangia chama na hakuna mwanachama/muumini fukara hata mmoja.

Hapo ndipo utagundua uongo wa hiyo sijui dini yao, why matajiri au wale wenye uwezo tu!.
 
Umemaliza kila kitu mkuu barikiwa sana [emoji120][emoji120]
 
Umenena vyema.

Islam ndiye mpinga Kristo anaezungumziwa kwenye BIBLIA.

kile kitabu ni kazi ya yule MUOVU .. Ili kupoteza watu akaamua kuchangia ya KWELI NA UONGO.
 
Hivi hawa wanaotumia majina ya sophia kindly natamani kujua source yake ...
Ila kuna fumbo sana kama utaweka in practice ule msemo " kati ya yai na kuku yupi alitangulia" ....
 

upo emotional sana ila wewe na yeye nyote hamna tofauti!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…