Mjue Mungu wa Freemasonry

Sijaisoma KABISA ila huwa naamini mambo ya Freemasons ni Fiction tu

Ni story za kutungwa ambazo leo utasikia huyu akieleza hivi kesho mwingine anaeleza vile. Hazina uthibitisho halisia

Ni stories tu.
Wajuaji kama wewe huwa hamkosekani
 
Hii coment naitunza.. [emoji106][emoji106]
 
Mungu ni huyo huyo mmoja . Ana part zote mbili yani feminine na masculine. Ile masculine ndio ilikuwa trapped then akatokea Ialdabaoth.
Ina maana kilichoitrapp iyo sehem kina nguvu kuliko yeye?

Ufafanuzi bado hapo mkuu LIKUD
 
Yale yale tu, wanatuvuruga tu vichwa.

Wote wanamwabudu MUNGU
 
Mwendelezo wa makala yako uko wapi au washakuzuia mwenye siri zao
 
Ina maana kilichoitrapp iyo sehem kina nguvu kuliko yeye?

Ufafanuzi bado hapo mkuu LIKUD
nimeelezea hapo juu mfano wake ni Mungu ashuke duniani akanyage kwenye mwamba halafu alama za miguu yake zibaki kwenye huo mwamba then after that kiumbe hai kitokee kwenye hiyo alama. Hapo huwezi sema mwamba una nguvu kuliko Mungu ila Mungu ana nguvu kuliko mwamba..
 
Tuachane na huu ujinga wa kuita Mungu wa Israel, there's no such thing as Mungu wa Israel. Kumbukeni Torat iko kwa ajili ya waIsreal na ndiyo maana wamejipendelea wao, there's no way Mungu awapendelee waIsrael na kuwaponda watu wengine, kwani sisi ni watu wa nani kama siyo Mungu? Ondoeni huu ujinga vichwani mwenu, mnakera.
 
Mkuu kwahiyo mtu akisali anatakiwa amuombe aeon, sophia au christos? Au aamini nguvu alizopewa na sophia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…