mbona tena unatupiga biti,serious kivipi kwani kuna services za utani? halafu husemi uko wapi,ni kampuni au binafsi,hata qualifications au experience kidogo hakuna..unasema mtu awe serious,how? mwenzako nimeona ameweka hadi picha ya baadhi ya kazi alizofanya