IBRAHIM KAUKI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 536
- 210
kwa lipi alilofanya dikteta Mobutu? kuua watu wake?jamaa aliiweza sana zaire..........sidhani kama atatokea mwingine atakaeweza kuiendesha nchi ile katika amani na utulivu kama mobutu ingawa watu wengi waliuchukia mfumo wake wa utawala ila jamaa mimi kwa upande wangu naona nchi ile ilihitaji kua na kiongozi wa type hii
kufuja hela?