Mjue mnyama Simba kiundani zaidi

Mjue mnyama Simba kiundani zaidi

Kupitia uzi wako nimepakumbuka daraja la Simba Mikumi pale na jinsi wageni wa ile njia gari zao zikichemsha wanakwenda kufuata maji chini ya lile daraja na kinachowakuta.
 
Kuna mapungufu makubwa.
1. Simba ni ukoo na wanaishi kifamilia rejea ukoo uliopelekwa Chato kutoka Serengeti
2. Simba hapendi kulea mtoto ama watoto sio wake akitaka kuanzisha familia yake anaingia kwa Simba jike na endapo atamkuta na watoto anawaua ili awe free.
3. Umesema anakula kilo 4 sio kweli unataka kuniambia Simba ana shiba kilo 4. Nenda Dar es Salaam zoo uliza simba anakula kilo ngapi?
 
Kuna nadharia moja nilipewa sjiu kama ina ukweli,kuwa ukikutana na Simba uso kwa uso,usigeuke nyuma na kukimbia,unachotakiwa kufanya ni kundelea kumfuata kule aliko na yeye akishaona hivyo hukimbia...
 
Kuna nadharia moja nilipewa sjiu kama ina ukweli,kuwa ukikutana na Simba uso kwa uso,usigeuke nyuma na kukimbia,unachotakiwa kufanya ni kundelea kumfuata kule aliko na yeye akishaona hivyo hukimbia...
Umfute Simba alipo au usimame, hiyo ni hatari sana.
 
Je n kweli simba dume huwala lioness ambao n dume kingine madume kwenye pride yanaweza kuwa manne??? Kingine chui dume na simba dume at the same Age who will win a legendary battle
 
Simba mlawatu ni yupi, kwann ale binadamu akati mbuzi mawe wapo
 
Simba dume anakula hadi kilo 60 za nyama mkuu hizo nne labda mbwa mwitu wale
 
"Simba anakula kilo 4 ambazo ni robo ya uzito wake" inamaana simba ana kilo 16? Au ulimaanisha mbwa?

Halafu Simba dume anakula cubs(vitoto vya simba) au anaviua tu?
 
Back
Top Bottom