mjue mjasiliamali aliyetaka kupora kilo 550 za dhahau GEITA GOLD MINE

Huwa mzigo unatakiwa uende polisi kwa ajili ya kidhibiti. Sasa huko polisi mzigo huo wa dhahabu utapona? Ivi tangu madawa ya kulevye eg cocaine yaanze kukamatwa hapa tz, mpaka sasa zipo tons ngapi? Godown ya kutunzia ipo wapi? Assume zingind zitakua zime-expire, ni utaratibu gani hutumika ku-despose ili yasilete madhara zaidi kwe mazingira?
 
Acheni upuuzi na hiyo attitude ndiyo imelifikisha hilo taifa hapo lilipo, toka lini mwizi akawa mjasiriamali na shujaa??????? Hao wenye mgodi si wanafanya biashara kwa terms, conditions na mkataba halali waliowekeana na serikali??????? Sasa kama serikali yetu kupitia corruption ikafanya tupunjwe si justification hata kidogo ya kubariki uhalifu. It is pathetic kujustify uhalifu eti kwa sababu wenye mgodi wanadhaniwa kutuibia.

Taifa hilo ni kama lina laana, badala ya kuikomalia serikali ya CCM iliyoingia mkataba na hao wawekezaji, eti kuna watu wanataka tuamini our revenge ni thru uhalifu. Badala ya kuelekeza shutuma, na kuiwajibisha serikali ya CCM kwa tabia mazoea ya kuomba omba watanzania wanakomalia kauli za Cameron na Obama kuhusu gay rights.
 
Nashangaa mnaomsifia huyu jambazi ... Nilisikia wanasema aliwahi kufanya tukio na kuchukua maisha ya watu wa watatu.... Pongezi kwa jeshi la polisi ,
 
Mkuu ninakubarina nawe kabisa. Kosa moja haliwezi kusahihishwa kwa kufanya kosa jingine. Ni vema kukomalia serikali. Hata hivyo michango ya wanajamvi hapa ni kama onyo kwa rent seekers (the so called investors). Kwa kuwa wanajua hawatendi haki kwenye mikataba (ndo maana inafanywa kisiri) wajue pia kuwa ipo siku haya yakiwekwa barazani, wao ndo watakuwa wamepoteza. Pia ifahamike kwamba,mwekezaji mwenye malengo safi hataendesha biashara zake kizani. Mfano hata sasa, hakuna ambaye amejitokeza na kueleza the true value ya dhahabu nahata uzito halisi! Hii ina maana gani?
 
hONGERA YAKE MWANAUME ANAKUFA AKITAFUTA BWANA. HUYU HAKUWA AKIIBA ALIKUWA ANAJARIBU KUCHUKUA MALI ZAKE AMBAZO WAZUNGU WANAMWIBIA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…