mjue mjasiliamali aliyetaka kupora kilo 550 za dhahau GEITA GOLD MINE

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
huyu ndiye mjasiliamali aliyetaka kupora dhahabu GGM akiwa na wenzake wanne lkn kwa bahati mbaya akauawa na walinzi wa mgodi na wenzake wakatoroka na kumuacha


394923_249268535146589_100001903324761_639423_410315374_n.jpg 404401_249268491813260_100001903324761_639422_88362958_n.jpg
 

Attachments

  • 379910_249268395146603_100001903324761_639419_2039017386_n.jpg
    379910_249268395146603_100001903324761_639419_2039017386_n.jpg
    109.8 KB · Views: 440
  • 407765_249268461813263_100001903324761_639421_17246335_n.jpg
    407765_249268461813263_100001903324761_639421_17246335_n.jpg
    131.8 KB · Views: 568
Kama serikali yetu inashindwa kubadili mikataba ya madini iliyojiwekea na hawa jamaa na sasa haina hela ningeishauri hivi; Iunde kikosi kazi chake kisha hawa jamaa wakitaka kupeleka dhahabu kwao inaporwa tunalipa madeni ya walimu,tena inaporwa inapatikana fedha ya mikopo ya wanafunzi. hivyo hivyo mpaka matatizo yote sugu yanaisha.
Hii nikutokana na kuwa serikali imeishiwa mbinu za ukusanyaji mapato kitaalamu hivyo iende kwenye mbinu haramu,mbona wanachukua hela za wananchi kwa mbinu haramu?
Ni ushauri tuu,hawataki wanaacha
 
wakionda na mzigo huwa hawatafutwi tena zaidi ni kupeleka 10 percent tu kwa maafande...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom