Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

hawa pia wanajiuliza:

ambulace+ya+kijiji..jpg
 
Tena msiniletee za kuleta, we shein wewe, we shein wewe, umeona suti yangu toka dubai?

1.JPG
 
Mbona huyu spana mkononi kaweza, aliwezaje kukutana na viongozi na wageni wa kimataifa akiwa chini ya meza acheni hizo kwanza urais ni taasisi si mtu leta hoja nyingine.
jk_203.jpg
 
Na nyie visichana ole wenu mpate mimba kisha mje darasani na maziwa yakitiririka/churuzika:

malibwi_water_children_op_.jpg
 
Mbowe alitetea sana uteuzi huu siku ya uzinduzi wa kampeni za chadema. Mimi nina mashaka CHADEMA kuifanyia majaribio nafasi ya Makamu wa Rais. Wana JF hebu nisadieni kuniondoa mashaka ya Makamu wa Rais huyu endapo haya hapo chini yatatokea.

Sina nia ya kubeza elimu ya mtu lakini naweza kuamini kwamba chadema walikuwa hawajiandaa kwenda kushika dola.

1. Ikitokea Rais akienda safari makamu wa Rais darasa la saba ndiye atakaimu nafasi yake


2. Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu au kupoteza sifa za uchaguzi basi makamu wa rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano.

3. Makamu wa Rais huyu ndiye atakutana na viongozi na wageni wa kimataifa katika majukumu yake na kujadili masula mbalimbali yanayohitaji tafakari ya kina.

4. Endapo itaonekana kuwa Rais hawezi kumudu kazi zake kwa sababu ya maradhi ya mwili na akili basi itahesabika kwamba kiti ya Rais ki wazi, kazi na shughuli za Rais zitatekelezwa na makamu wa rais.

Je, Dr Slaa kamkubali darasa la saba ili kushika hatamu za uongozi peke yake au anahitaji mtu wa ndio mzee.

Je, jambo hili haliwezi kuathiri uchumi wetu?

Je Makamu darasa la saba ana sifa zote za kumudu changamoto za dunia ya utandawazi?
 
Back
Top Bottom