Mjue kiumbe aina ya Sisimizi

Mjue kiumbe aina ya Sisimizi

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Sisimizi ni kiumbe cha ajabu sana hapa duniani.

Sisimizi hupenda sana kutembea kwenye makundi makundi.

Sisimizi hutokea fasta sana ukiacha chakula / uchafu sehemu fulani. Hata ukiwa ghorofa ya 10 hapa Bongo, mwaga tu mchuzi kidogo au asali, ndani ya muda mfupi sana utaona sisimizi hao hapo.

Sisimizi huvutwa na kitu haraka sana. Sijajuaga sisimizi hutokea wapi haraka haraka ukishamwaga chakula au uchafu mahali.

Swali :

Sisimizi wanaishigi mazingira gani kiasi cha kwamba hutokea haraka sana fasta…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa entomology msaada tafadhali

1535915981968.jpeg
 
Kuna nyumba moja mkikaa kibarazani tu sisimizi wanakotekea hamjui wale wana vichwa vikubwa hua najiuloza had leo wanajuaje tumekaa?
 
Sisimizi wana uwezo wa kunusa harufu kwa mbali mara 5 ya wadudu wote unaowajua
Hiyo ndio inawafanya wawe special


Sent from my SM using Tapatalk
 
Huyu atakuwa anazungumzia "little black ant"
Ukitaka kujua shughuli watafute "acrobat ants"waishio kny magogo makavu ya miti..
 
Sisimizi wana uwezo wa kunusa harufu kwa mbali mara 5 ya wadudu wote unaowajua
Hiyo ndio inawafanya wawe special


Sent from my SM using Tapatalk
Unusa hata harufu zilizo ndani ya kuta za zege? Maana utaacha mchuzi mezani ndani ya nyumba yenye kuta za zege lakini hawachukui dakika nyingi kufika kwenye huo mchuzi.
 
Back
Top Bottom