Mjue kiumbe aina ya Sisimizi

Mjue kiumbe aina ya Sisimizi

Hovyoo kabisa, sasa umetujuza au umetuuliza,
 
Hiyo title haiendani na maudhui
.
[Huko ndo kufeli kwa mwandishi]
 
Mkuu nilidhani una dadavua kuhusu huyo sisimizi,kumbe unauliza swali!..???
 
Binadamu tungekuwa na umoja kama hawa viumbe tungefika mbali sana . Kakichwa ka sisimizi kaduchu , ubongo unakaa wapi ?
 
Sisimizi ni kiumbe cha ajabu sana hapa duniani.

Sisimizi hupenda sana kutembea kwenye makundi makundi.

Sisimizi hutokea fasta sana ukiacha chakula / uchafu sehemu fulani. Hata ukiwa ghorofa ya 10 hapa Bongo, mwaga tu mchuzi kidogo au asali, ndani ya muda mfupi sana utaona sisimizi hao hapo.

Sisimizi huvutwa na kitu haraka sana. Sijajuaga sisimizi hutokea wapi haraka haraka ukishamwaga chakula au uchafu mahali.

Swali :

Sisimizi wanaishigi mazingira gani kiasi cha kwamba hutokea haraka sana fasta…

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepoteza muda kusoma huu uzi
 
Back
Top Bottom