Hiyo video nitaangalia kesho saa nne......Ila nakupenda kitu kimoja......font yako ni rafiki wa macho yangu...,,.nimejaribu kumuomba Invisible aongeze font kidogo lakini nadhani hakuona........
Daaaaah..kiukweli tunaishi na vitu hivi lakini ni ukweli uliowaz kwa wale waliopata kukutana na vitu hivi...daaaah...imeniganya nikumbuke mbali snaa...