Mtoto wa kishua huyo yupo full exposed, o level shaban robert, a level mzizima, then franklin university ohio usa,,,.... Plus magumashi ya kuishi sana abroad na kubeba box kumemjenga sana....
Pamoja na yote hayo... Bado mi siifahamu kampuni yake hata moja.
Ni sawa na ndege aliyefunguwa kwenye kachumba kadogo (kwa kua anaweza kupeperuka humohumo , basi hujiona yuko huru sana). Kumbe masiki ndege huyu angajua jinsi ndege wa nje wanavyomuona...
His "work" is still barried to his "job".
Ni jambo la hatari sana kulewa na misifa ya kuitwa "mwajiliwa mwenye cheo kizuri"
Vipi angekua amezaliwa kijijini Nyamboge huko Geita, halafu akasoma Shule ya msingi Nzera, sekondari akasomea Nyamboge secondary, akapata 3 yake kwa taabu akachaguliwa A level Geita Sec? Hayo ma CV ya sijui mabenki gani ya mbele angeyapata kweli?
Twende mbele turudi nyuma, family well being ina influence kubwa hapo. Jamaa sio kichwa kiviile bali explosure nayo inahuu.
Hilo neno "Genius" umelitumia vibaya mkuu, niliposoma title nilidhani kuna mtanzania anayetengeneza mobile apps au platform za mobile equipments, kumbe unaelezea mtu anayefuata principles zilizoandikwa na watu.
Huyo na mange wamekua pamoja toka enzi za shabaan robert wanajuana kwa viremba nashangaa kwa nini mange amekuwa kilaza wakati wa kishua mwenzake anasonga mbele,
Kama university wote walipelekwa usa baada ya high school.... Na hata shule wamesoma za ukweli toka primary
Hilo neno "Genius" umelitumia vibaya mkuu, niliposoma title nilidhani kuna mtanzania anayetengeneza mobile apps au platform za mobile equipments, kumbe unaelezea mtu anayefuata principles zilizoandikwa na watu.