Mjue Edward Lowassa: Hii ni CV yake


Tumchague kwa uwezo wake wa uongozi, tusimchague kwa asili ya kabila Lake; maana ENL ni Mmeru kwa asili; na Wameru jamani jamani; wasikieni kwa mbali; ni Shiiiida!!!!!
 
Ccm mtahangaika sana, ila vijana wasaka tonge mnaotumikia mafisadi mtalaaniwa nyiny na kizazi chenu! UKAWA TUMAINI LETU
 
Napata shaka kidogo na hii cv, au sijui kuisoma cv, alipata kadi ya uanachama( alianza kuwa member) wa ccm 1990, lakini alikuwa kiongozi wa ccm kuanzia mwaka 1977 hebu mleta mada weka sawa kidogo nielewe.
 
Humu ndani utatumia nguvu nyingi saana labda kwa witu wasolimika tu maana we taja matope take yoote name uyapangue kimantiki undo uteleweka
 
mwaka huu ni mwaka wa kuvuka daraja waliopembeni tutaona na kusikia mengi!
CV tu ndo tunyenyue na kumkabidhi mtu ukulu basi chenge aliyesomea Harvard university ndo anatakiwa
 
kinacho mwangusha lowassa ni kwasababu anatoka kaskazini.....Ata mtoto wa mkulu amesha wahi kusema rais ajae kamwe awezi kutoka kaskazini....
 
Tunamuuomba aweke wazi zengwe la richmond,epa, na gemeral view ya nishat na madin kisha njia nyeupe unless atupishe
 
Kama si EL basi CCM itakuwa chama cha upinzani soon.
 


tukisema tuangalie CV za mtu ndio tumupe uraisi basi maprofesa wote nchini wangekuwa maraisi, swali pekee la kujiuliza wakati yeye ni waziri ni kipi cha kujivunia alichowafanyia watanzania? zaidi aliwapa hasara na umasikini kwa wizi wa RICHMOND, hebu jamani kwa sasa tunataka waasafi na wenye huruma kwa wananchi EE CCM, utaacha lini kuiba
 
kinacho mwangusha lowassa ni kwasababu anatoka kaskazini.....Ata mtoto wa mkulu amesha wahi kusema rais ajae kamwe awezi kutoka kaskazini....

Kwanini tuchaguliwe kiongozi na mtoto wa rais!? Huu ni zaidi ya uhuni!
 
wagumu wakufikiria!! hatuwezi kumpa fisadi nchi hii, amekua serikalini miaka yote,kashindwaje kuyatekeleza aliyoyaamini!kama walimkatalia kuyafanya angeresign.Tuacheni unafiki
 
mbona umepanic sana kumtetea mchafu kama Lowasa unapoteza muda wako bure

Usipende kukaririshwa kuwa kila kitu ndo kilivyo kumbe sivyo!! Huna uhakika unayoyaongea bali kusikia kwa watu ndo maana nasema usipende kuzungumza usio na uhakika nayo kwa kutumia habari ya majukwaa ya siasa. Nasema hata wewe ni mwizi ila husemi unavyowaibia wananchi.
 
Waongo watupu..huyu bwana kasomea sanaa za maonyesho (ba- performing arts)..si yote hayo ni sanaa za jukwaani
 
Tunamkubali sema tatizo Afya na siasa ya leo ina mikiki mikiki mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…