Mjue Donald Trump

Mjue Donald Trump

Tukiweka ushabiki pembeni na akili za ajabu ajabu za wamarekani (maana unaweza kukuta wanamchagua), Trump hana sifa ya kuwa Rais wa Marekani. Hata wanasiasa wa kawaida tu hapa kwetu Tanzania wanaweza kumpita kwa mbali kung'amua lipi la kuzungumza na lipi la kuacha. Aaaaah! mama Clinton ana bahati kujipatia mteremko
 
Zile pesa za Escrow za SCB Hong Kong hivi tunaanza kuwalipa lini?
 
Mike Tyson kwao wapi
Kwa Don king.

Nadhani hujaelewa vizuri, nimesema ubaguzi wa rangi haiwezi kuwa kete ya kumzuia Trump kushinda, sababu uwiano wa watu weupe na weusi haupo sawa huko amerika.

Nchi nyingi saivi zimejikita kwenye uzalendo na kupenda asili ya nchi zao. Wanaopiga kelele za ubaguzi ni kutengeneza propaganda tu za Sera na siasa za nje ya mipaka ya US.
 
jana alipewa dawa na ikamuingia kweli kweli...
 
Trump ana mbagua nani? Mtu mweusi? Sasa kule ni Marekani ni nchi yao weupe.

Tukisema Trump hatashinda kisa ubaguzi, population ya US itatuumbua. Ratio Kati ya blacks na whites.

Watu wengi saivi dunia, nchi kibao zinaingia kwenye Neo-nationalism, ndio kutokea kwa brexit etc...kwa mfumo huo wa sasa, watu kuweka nchi zao mbele kwanza inatosha kuleta picha kuwa Trump atashinda tho media zinambana na kumwekea bad coverage ila box la kura halitadanganya.
Kwani yeye Trump Marekani ni nchi yake? Yeye ni Mscotish muhamiaji kama weusi
 
Trump ana mbagua nani? Mtu mweusi? Sasa kule ni Marekani ni nchi yao weupe.

Tukisema Trump hatashinda kisa ubaguzi, population ya US itatuumbua. Ratio Kati ya blacks na whites.

Watu wengi saivi dunia, nchi kibao zinaingia kwenye Neo-nationalism, ndio kutokea kwa brexit etc...kwa mfumo huo wa sasa, watu kuweka nchi zao mbele kwanza inatosha kuleta picha kuwa Trump atashinda tho media zinambana na kumwekea bad coverage ila box la kura halitadanganya.
Hata yeye siyo asilia Mmarekani.

With German ancestry from his father and Scottish ancestry from his mother, millionaire real estate developer Donald Trump epitomizes the American immigrant experience.

Immigrating to America in 1885, he began his fortune running the Arctic Restaurant and Hotel in Bennett, British Columbia, during the Klondike Gold Rush. Christine, who would later become his wife, was only 5 when he left Germany, but they kept in touch by mail and eventually married.
 
Kila napowasoma watu wanaompinga trump napata picha jinsi maskini tulivyo. Trump na Clinton Mara elfu ya huyu babu, kina Clinton ndio wauaji wa Gadaffi, Saddam na wengine bila kusahau Obama hawa ni mashetani kabisa usoni wanacheka moyoni wamebeba bundukiii, mi nawaambieni if at all trump win this election, mtaona tofauti kubwa sana mojawapo ni Amani kwenye sehemu nyingi za vita kama mashariki ya kati na ugaidi utapungua kwa kasi,
 
Wazungu walifika nchini Marekani wakawakuta wale wanaoitwa Wamarekani wa Asili, wakavamia na kuwaua kwa mamilioni. Wamebaki wachache sasa. Moja hilo, nchi hii si yao, ukifuata historia hiyo. Kwa hivyo kama kuna mtu ana haki ya kufukuza kule ni Mmarekani wa Asili. Mzungu katokea Yuropa.
Pili, si wazungu wote wabaguzi. Labda hujui kwamba miaka ya 50 na 60 kulikuwa na harakati kubwa huko kukomesha sheria za kibaguzi. Ingawa watu weusi ndiyo walioongoza harakati hizo, waliungwa mkono na watu weupe. Hata JFK alipeleka majeshi ya serikali ya shirikisho kwenda kukomesha ubaguzi wa rangi jimboni Alabama na kuwasimamia watoto weusi kuingia katika shule zilizokuwa za wazungu tu.
Tatu, tumesema siku zote kwamba wengi wanaomuunga mkono Trump wana misingi ya kibaguzi. Na wala hawawezi kusikia hoja hata kama hoja nzuri zinatolewa. Kama uliangalia mdahalo wa jana utakuwa uliona dhahiri jinsi Trump anavyopwaya na kupwayuka hovyo.
Nne, katika mdahalo utakuwa jingine ambalo tumelisema siku zote kwamba Trump ni mnafiki namba moja. Anachopigania sasa hivi si nchi yake. Anataka tu kuingia ikulu. Kwa mfano anadai Wachina na Wamexico wanachukua viwanda vya Marekani. Ukweli ni kwamba yeye mwenyewe ni mmojawapo wa matajiri ambao wamehamishia utengenezaji wa bidhaa nje. Angalia unafiki huo hapa:
Umeona lakini kwamba anasema kitu halafu mara moja anakataa hakusema hivyo. Kama hujaona bado angalia juu ya comment yake juu ya madai ya Hillary kwamba Trump halipi kodi.
Yote haya tunayoyasema si kwa sababu ya media tu. Hilo ni jambo analosema kwa sababu wanajaribu kuonesha ukweli. Kila anapoona amebanwa, anasema media ni adui. Lakini watu tumemfuatilia toka siku nyingi. Jamaa ni tapeli thru and thru.
Angalia pia bibi huyo mmoja kwenye hiyo clip, hamwamini mtu yeyote isipokuwa Trump. Really?

Trump ana mbagua nani? Mtu mweusi? Sasa kule ni Marekani ni nchi yao weupe.

Tukisema Trump hatashinda kisa ubaguzi, population ya US itatuumbua. Ratio Kati ya blacks na whites.

Watu wengi saivi dunia, nchi kibao zinaingia kwenye Neo-nationalism, ndio kutokea kwa brexit etc...kwa mfumo huo wa sasa, watu kuweka nchi zao mbele kwanza inatosha kuleta picha kuwa Trump atashinda tho media zinambana na kumwekea bad coverage ila box la kura halitadanganya.
 
Wazungu walifika nchini Marekani wakawakuta wale wanaoitwa Wamarekani wa Asili, wakavamia na kuwaua kwa mamilioni. Wamebaki wachache sasa. Moja hilo, nchi hii si yao, ukifuata historia hiyo. Kwa hivyo kama kuna mtu ana haki ya kufukuza kule ni Mmarekani wa Asili. Mzungu katokea Yuropa.
Pili, si wazungu wote wabaguzi. Labda hujui kwamba miaka ya 50 na 60 kulikuwa na harakati kubwa huko kukomesha sheria za kibaguzi. Ingawa watu weusi ndiyo walioongoza harakati hizo, waliungwa mkono na watu weupe. Hata JFK alipeleka majeshi ya serikali ya shirikisho kwenda kukomesha ubaguzi wa rangi jimboni Alabama na kuwasimamia watoto weusi kuingia katika shule zilizokuwa za wazungu tu.
Tatu, tumesema siku zote kwamba wengi wanaomuunga mkono Trump wana misingi ya kibaguzi. Na wala hawawezi kusikia hoja hata kama hoja nzuri zinatolewa. Kama uliangalia mdahalo wa jana utakuwa uliona dhahiri jinsi Trump anavyopwaya na kupwayuka hovyo.
Nne, katika mdahalo utakuwa jingine ambalo tumelisema siku zote kwamba Trump ni mnafiki namba moja. Anachopigania sasa hivi si nchi yake. Anataka tu kuingia ikulu. Kwa mfano anadai Wachina na Wamexico wanachukua viwanda vya Marekani. Ukweli ni kwamba yeye mwenyewe ni mmojawapo wa matajiri ambao wamehamishia utengenezaji wa bidhaa nje. Angalia unafiki huo hapa:
Umeona lakini kwamba anasema kitu halafu mara moja anakataa hakusema hivyo. Kama hujaona bado angalia juu ya comment yake juu ya madai ya Hillary kwamba Trump halipi kodi.
Yote haya tunayoyasema si kwa sababu ya media tu. Hilo ni jambo analosema kwa sababu wanajaribu kuonesha ukweli. Kila anapoona amebanwa, anasema media ni adui. Lakini watu tumemfuatilia toka siku nyingi. Jamaa ni tapeli thru and thru.
Angalia pia bibi huyo mmoja kwenye hiyo clip, hamwamini mtu yeyote isipokuwa Trump. Really?

Unakosea unapo sema wazungu ni wabaguzi na wakati huo unasema clinton sio mbaguzi.
Na wakati huo trump na clinton wote ni wazungu.

Na nikwambie tu ukweli saizi swala la ubaguzi ni janga la kidunia hata ww mwenyewe unaweza ukute hapo ulipo unabaguliwa na waafrika wenzako bila ww mwenyewe kujijua.
Ila unaona mzungu peke yake ndio mtu mbaguzi duniani.
 
Back
Top Bottom