Mjue Bruce Marshall Mathers |||{Eminem}

DMCT

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
2,276
5,930
Jina la Kiraia
Marshall Bruce Mathers III
Jina la kisanii
Eminem
Nchi
Marekani
Alizaliwa
17 Oktoba1972(umri 44)
Aina ya muziki
Hip Hop
Gangsta Rap
Midwest Hip Hop
Detroit Hip Hop
Horrorcore
Hardcore Hip Hop
Rapcore
Kazi yake
Rapa
Mwigizaji
Mtayarishaji
Miaka ya kazi
1995-hadi leo
Ameshirikiana na
D12
Dr. Dre
The Alchemist
T.I.
50 Cent
Stat Quo
Bobby Creekwater
Cashis
Akon
Obie Trice
Ala
Sauti
Kinanda
Kampuni
Mashin' Duck
Web
Aftermath
Interscope
Shady
Pia ni miongoni mwa
wanamuziki waliokuwa na
mauzo ya juu kabisa katika
kipindi cha miaka ya 2000.
Kuimba kwake kisela-sela na
kuihusia jamii ya watu wa
chini kumemfanya pia awe na
mauzo ya juu na kuwa kama
msanii bora wa muda wote.
Eminem aligunduliwa na rappa
vilevile mtayarishaji wa
muziki wa Kimarekani Bw. Dr.
Dre, ambaye baadaye
alimwingiza Eminem katika
studio yake ya kurekodia
muziki-Aftermath
Entertainment.
Albamu zake
Eminem ana albamu 7 ambazo
ziko chini yake na zilitolewa
dunia nzima. Albamu hizo ni:
Infinite
The Slim Shady LP
The Marshall Mathers LP
The Eminem Show
Encore
Curtain Call: The Hits
Eminem Presents the Re-
Up
Relapse
Recovery
Kwa sasa anafanyia kazi
albamu mpya iitwayo:
King Mathers
Vilevile alitoa albamu mbili
alizoshrikiana na kikundi
chake cha muziki cha D12:
Devil's Night
D12 World
Haijapewa jina bado
inakuja
 
Dr Dre hamkumgundua Eminem bana, sema ni mtayarishaji mkubwa aliyekubali kufanya kazi na Em tena kwa ushauri wa boss na rafiki yake(Iovine).
 
Nazikubali ngoma zake hizi no love, drop the world ,cleanin out my closet na when i'm gone
 
Pia kwenye not afraid jamaa alitisha sana kuna mistari naipenda sana " It was my decision to get clean, I did it for me
Admittedly I probably did it subliminally for you" na " From Infinite down to the last Relapse album, he's »
Still shittin', whether he's on salary, paid hourly »
Until he bows out or he shits his bowels out of him
Whichever comes first, for better or worse
He's married to the game »
Like a "f**k you" for Christmas: his gift is a curse »
Forget the Earth, he's got the urge to pull his d**k
from the dirt
And f**k the whole Universe »"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom