Mjue Alinacha na ndoto yake

kisa kizuri ila umelikosea jina kuandika. anaitwa Ally Nacha.
 
mimi huwa natafuta kisa cha mtema kuni,maana kuna msemo wa atakiona/utakiona cha mtema kuni,huyu mtema kuni alipatwa na mkasa gani?
Iko hivi..kulikuwa Kuna miti miwili porini.mmoja ulikuwa mzuri umenyooka na ulikuwa unavutia kwakweli,pembeni ya huo mti mzuri ulikuwepo mti mwingine ambao wenyewe ulikuwa umepindapinda ,kiujumla haukuwa unavutia..Basi Kila upepo ulipovuma ule mti mzuri ulikuwa ukiucheka ule mti mbaya kwajinsi ulivyokuwa unakuwa mbaya zaidi ukipigwa na upepo..Siku moja mtema Kuni(mkata Kuni)alienda porini kukata Kuni akakuta miti hiyo miwili..akaangalia ule mbaya akauacha akaufuata ule mti mzuri ulikuwa unamcheka mwenzie akasema huu ndio mzuri akaanza kuukata kwaajili ya kuni,ule mti mbaya ukaanza kumcheka mwenzie kwamba ulikuwa unamcheka mm mbaya Leo umekiona Cha mtema kuni..
 
Assalam alaykum, humu ndani....
Hiyo story ndio ileeeee, hadithi hadithi uongo njoo ushankoleaaa
 
Ni nani huyu Ally Nacha?
Ally Nacha aliwahi kuishi wapi?
Kipi likubwa aliota Bw. Ally Nacha?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…