Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Basi tuachane na alinacha, nipe kisa cha mtema kuniNimekutumia whatsapp tayari
Teh teh teh acha ya alinacha yawe ya alinacha

Basi tuachane na alinacha, nipe kisa cha mtema kuniNimekutumia whatsapp tayari
Teh teh teh acha ya alinacha yawe ya alinacha

Hhaha we si chuoayamajiNi mimi mkuu sema wabongo tulivo wabishi hata we waeza bisha ila ni mimi kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahahahah Abunuasi pia nasikia hakuwai kuishihalafu mdogo wake aliitwa abunuwasi
Mimi nipo vizuri kwa za abunuasi umewahi kumsikia hahahaBasi tuachane na alinacha, nipe kisa cha mtema kuni![]()
Abunuasi nimemsoma juzi kati hapa hapa jamvini japo nilikuwa nimeshasimuliwa visa vyake lukuki hapo kabla!Mimi nipo vizuri kwa za abunuasi umewahi kumsikia hahaha
Mbona kuna uzi humu upo utafuteKumekuwa na mazoea sana kwa Watanzania wengi kumwambia mtu mwenye ndoto au mawazo yasio na uhalisia au ndoto zisizotimi kuwa hizo ni "NDOTO ZA ALINACHA"
Ningependa kujua Wakuu je huyu ndgu yetu ALINACHA alipata kuishi? je alifanya nn mpaka leo tuna refer ndoto zisizotimia kwajina lake.
Sent using Jamii Forums mobile app