Alikufa na ndoto zake..utajiri upo kaburiniVipi nini kiliendelea baada ya yeye kupasua vikombe, je alifanikiwa kutoka kimaisha?
Kitabu cha Alfu Lela u LelaKuna kitabu chenye hii ndoto Library ya Arusha. Nimekisahau jina ila by 2002 wakati naenda pale kilikuwa chakavu.
mimi huwa natafuta kisa cha mtema kuni,maana kuna msemo wa atakiona/utakiona cha mtema kuni,huyu mtema kuni alipatwa na mkasa gani?
KIFAHAMU KISA CHA MTEMA KUNImimi huwa natafuta kisa cha mtema kuni,maana kuna msemo wa atakiona/utakiona cha mtema kuni,huyu mtema kuni alipatwa na mkasa gani?
Wewe umezaliwa mwaka gani?Kwakweli sijapata funzo lolote.
Hahah umenichekesha aisee!KIFAHAMU KISA CHA MTEMA KUNI
Hili neno” utakiona cha mtema” kuni we niguse uone..
Kama utawasikia watu wanasma jamaa kakiona cha Mtema kuni,na watu hawajali sana kuuliza hicho alichokiona Mtema kuni ni kipi?
Ngoja Nihadithie kisa chenyewe ,maana ya neno ”Mtema Kuni ni Mkata Kuni”.
Sasa hapo zamani kulikua na kijiji kilichokua kimezungukwa na msitu mnene sana na wa kutisha,wananchi wa kijiji hicho walitegemea kilimo kama uti wa Mgongo wa maisha yao na kama ilivyo kawaida kwa vijiji vingi kukosa nishati ya kupikia na wao pia walikuwa wahanga wa jambo hilo.
Wanakijiji walijizoeza kwenda kwenye msitu wa jirani na kujikatia kuni kwa matumizi ya nyumbani.
Siku moja mwanakijiji mmoja alitoka na panga lake kwenda porini kukata kuni.,alipoingia porini alikua mwenyewe ,baada ya muda akatoka porini mbio sana kuelekea kijijini huku akipiga mayowe na watu kuanza kumfukuza kumuuliza kunani mbona anakimbia na kupiga kelele?,alipofika katikati ya kijiji akaanguka na akafa hapo hapo..Watu wakabaki wameduwaa na wengine wakachukua hatua kuelekea msituni kwa kufuata njia aliyotokea ili kujua kuna nini huko?.Wanaume kwa wanawake,watoto kwa wakubwa.. kila mwenye jembe,panga,mundu shoka na kila aina ya silaha alielekea porini kuona nini kimemtokea mtema kuni,,lakini hakuna aliyeona nini kimemfanya mtema kuni akimbie na kupiga mayowe kisha kuanguka na kufa hapo hapo.
Ndio mpaka leo limebaki neno na hadithi hio ya “utakiona cha mtema kuni" lakini huyo mtema kuni mwenyewe alichokiona alikufa bila kumsimulia
HahahahahahKIFAHAMU KISA CHA MTEMA KUNI

we tutakutag hadi uwe TAGI UBAVU (billnass' hit song)Ukikipata hiki kisa unitag
Hii kamba..alafu ndefu!!KIFAHAMU KISA CHA MTEMA KUNI

😂😂😂 wewe! Nitumie huo wimbo niusikilize😜we tutakutag hadi uwe TAGI UBAVU (billnass' hit song)
H
😂😂😂 wewe! Nitumie huo wimbo niusikilize😜
Mmh! Kweli hii ni ndoto ya alinacha, mbona umenitumia wimbo wa kichina sasa?Nimekutumia whatsapp tayari

H
😂😂😂 wewe! Nitumie huo wimbo niusikilize😜
Teh teh teh acha ya alinacha yawe ya alinachaMmh! Kweli hii ni ndoto ya alinacha, mbona umenitumia wimbo wa kichina sasa?![]()