Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 4,762
- 5,767
- Thread starter
-
- #21
Maneno mengi alf wanakuachaHao wajuaji kwa jina lingine tunawaita wapambe nuksi..!!
Ushawahi kufanya biashara ya magari?
Sasa yule mteja usiombe aje na huyo mjuaji trust me biashara hufanyi ngโoo..!! ๐น๐น๐น
Hawakosekanagi kwenye jamii
Mjuaji kwa lugha iliyoko kitaa kwa sasa huyu ni CHAWA.Hiyo tafsiri yako ya mjuaji, mtaani haitumiki hivyo, ila kwenye mfano wako imeelekea hivyo
Mjuaji(machino)-much know.
Huyu huenda akawa anajua, ila ni watu kwenye jambo fulani hujitoa kimbelembele sana, hata kama anaefanya hiyo kazi anapatia, yeye lazima aongee, anaweza hata kutoa kasoro, kwake hakuna anaejua zaidi yake.
Huyu anaweza akawa ana taaluma kweli au hajui kitu lakini anajitia kujua.
Kuna wataalamu pia wanajitia ujuaji... Unaweza luongea ama kufanya jambo sahihi ila ili aonekane anajua atatafuta namna ya kukukosoa, ili mradi tu aonekane.
Sk hiz wamekuwa wengi sanaMjuaji kwa lugha iliyoko kitaa kwa sasa huyu ni CHAWA.
Anamjaza gari bovu ๐น๐นManeno mengi alf wanakuacha
Kimbelembele front.. ๐๐คฃHao wajuaji kwa jina lingine tunawaita wapambe nuksi..!!
Ushawahi kufanya biashara ya magari?
Sasa yule mteja usiombe aje na huyo mjuaji trust me biashara hufanyi ngโoo..!! ๐น๐น๐น
Bwana wee!! ๐น๐นKimbelembele front.. ๐๐คฃ
Usiombee, akawa ni demu sasa..Bwana wee!! ๐น๐น
Waharibifu wa biashara za watu kinoma..!!
Usiombee, akawa ni demu sasa..
Kuna siku hiyo nafanya biashara ya eneo..
Mwanangu akapata mteja akamleta, jamaa akatizama eneo akalipenda, ikawa uchawi malipo tu, mengine kubadili hati ni juu yake atafanya mwenyewe.
Mara akasema ngoja kuna dada yake yupo njiani, anaishi karibu na maeneo ya hapo, ngoja aje kuona eneo, mie nikaona sawa, haina tabu.
Kufika yule demu, kauli zake mbili za kwnaza tu, nikamnong'oneza dalali, hapa biashara hakuna, akaniuliza kwanini, nikamfunya na kumpa biashara atulie.
Kweli yule dada akaanza kuropoka maeneo yale,sijui kimeenda kimerudi.. bei yetu juu kidogo, wakati bei niliyokuwa nauza ni takriban nusu ya bei yenyewe kwa dhiki zangu.
AibuIkabidi nimuulize unaishi maeneo haya kweli, akaanza kumung'unya maneno, ooh, sijui nilikuwa naishi hapa, nimehamia wapi sijui, lakini nafanya kazi ardhi.
kuliko kupoteze mudaNikamgeukia jamaa, nikamwambia ukiwa tayari karibu, kama shida yangu, itakuwa haijaisha nitakuuzia kama imeisha basi bei yake sio hii tena.
Nikafunga safari...
Baada kama ya miezi mi3 jamaa anakuja anataka tufanye biashara, nikamtaji bei yake mpya, mara 2.5 ya ike, akashindwa bei. Tukamwagiana hapo.
Wana kiede mswede sana ๐น๐นUsiombee, akawa ni demu sasa..
Kuna siku hiyo nafanya biashara ya eneo..
Mwanangu akapata mteja akamleta, jamaa akatizama eneo akalipenda, ikawa uchawi malipo tu, mengine kubadili hati ni juu yake atafanya mwenyewe.
Mara akasema ngoja kuna dada yake yupo njiani, anaishi karibu na maeneo ya hapo, ngoja aje kuona eneo, mie nikaona sawa, haina tabu.
Kufika yule demu, kauli zake mbili za kwnaza tu, nikamnong'oneza dalali, hapa biashara hakuna, akaniuliza kwanini, nikamfunya na kumpa biashara atulie.
Kweli yule dada akaanza kuropoka maeneo yale,sijui kimeenda kimerudi.. bei yetu juu kidogo, wakati bei niliyokuwa nauza ni takriban nusu ya bei yenyewe kwa dhiki zangu.
Ikabidi nimuulize unaishi maeneo haya kweli, akaanza kumung'unya maneno, ooh, sijui nilikuwa naishi hapa, nimehamia wapi sijui, lakini nafanya kazi ardhi.
Nikamgeukia jamaa, nikamwambia ukiwa tayari karibu, kama shida yangu, itakuwa haijaisha nitakuuzia kama imeisha basi bei yake sio hii tena.
Nikafunga safari...
Baada kama ya miezi mi3 jamaa anakuja anataka tufanye biashara, nikamtaji bei yake mpya, mara 2.5 ya ike, akashindwa bei. Tukamwagiana hapo.
Bahati mbaya zaidi alikuwa ni mbovu, hafai hata kwa KULUMAGIAWana kiede mswede sana ๐น๐น
Ungemuomba namba huyo dada umpige mitishamba hana adabu..!!