Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,284
- 6,750
Hawakosekanagi kwenye jamiiHiyo tafsiri yako ya mjuaji, mtaani haitumiki hivyo, ila kwenye mfano wako imeelekea hivyo
Mjuaji(machino)-much know.
Huyu huenda akawa anajua, ila ni watu kwenye jambo fulani hujitoa kimbelembele sana, hata kama anaefanya hiyo kazi anapatia, yeye lazima aongee, anaweza hata kutoa kasoro, kwake hakuna anaejua zaidi yake.
Huyu anaweza akawa ana taaluma kweli au hajui kitu lakini anajitia kujua.
Kuna wataalamu pia wanajitia ujuaji... Unaweza luongea ama kufanya jambo sahihi ila ili aonekane anajua atatafuta namna ya kukukosoa, ili mradi tu aonekane.
MasangwinicHiyo tafsiri yako ya mjuaji, mtaani haitumiki hivyo, ila kwenye mfano wako imeelekea hivyo
Mjuaji(machino)-much know.
Huyu huenda akawa anajua, ila ni watu kwenye jambo fulani hujitoa kimbelembele
Mjuaji- Anapojibu hoja anajikanyaga kama kuku aliyekatwa shingo.Mtaalam vs Mjuaji
Mtaalamu ni mtu mwenye ujuzi wa kitaalam katika eneo fulani, amepitia mafunzo rasmi, uzoefu wa kazi, au elimu ya kina. Mfano: mtaalamu wa afya, mtaalamu wa sheria.
Mjuaji ni mtu ambaye anajua mambo mengi, lakini si lazima awe na elimu rasmi au ujuzi wa kitaalam. Anaweza kuwa mwerevu, mwenye akili ya kawaida au ya maisha, na anaelewa vitu haraka
Tofauti
Mtaalamu - Ana elimu rasmi au mafunzo maalum
Mjuaji - Si lazima awe na elimu rasmi
Mtaalamu- Ana uzoefu wa kitaalam
Mjuaji- Anaweza kuwa na uzoefu wa maisha au uelewa wa kawaida
Mtaalamu- Hutegemewa kitaalam
Mjuaji - Si kila wakati anategemewa kama chanzo rasmi
Ishawahi kukutokea au inakuaje ikitokea
Mjuaji anayejifanya anajua jua alafu akibishana na Mtaalamu?
Au ww ulikuwa unajifanya mjuaji kwa mtaalamu mkawa mbabishana
Kwenye kaz au vitu vingine?
Au wewe ulikuwa mtaalamu alafu mjuaji mmoja akawa anapingana na wewe?
😅😅ni kweliMjuaji- Anapojibu hoja anajikanyaga kama kuku aliyekatwa shingo.
Mtaalamu - Anajibu hoja kwa utulivu huku akitoa mifano kuntu.
Mjuaji- Anaongea haraka haraka kama cherehani ili hata akidanganya udigundue.
Mtaalamu - Anaongea taratibu kama mtu anayetoa hotuba, analenga kumwelewesha Kila mtu.
😎😎😎
Nan huyo mtagMjuaaji anakuwa hajui mfano yule Dada anayetete ushoga wa JF
Yani hawakosekaniHalafu sijui kwanini wajuaji huwa hawakosekani kwenye kila kikundi cha watu?
Lazima tu atakuwepo chakaramu mmoja mwenye ujuvi kuliko wengine wote. Anajua kila habari na kila kitu.
Hata kama haelewi jambo lazima ajitutumuee
Tuwapinge wajuaji na tuwapitishe wataalamu.😅😅ni kweli
Mtaalamu anavunga anabak kumchora tuUnakuta jitu limesoma Sheria linataka limwelekeze Mhasibu?
Au jitu Limesoma Uhasibu linataka limwelekeze Engineer
Hapo mmoja mjuaji na mwingine mtaalam
Kabisa kuliko kupotezea mudaSema hilo neno "mjuaji" kwa wabongo wengi mara nyingi wanalitumia ili kukwepa kuambiwa ukweli na kukosolewa hata kama wamekosea, yani mtu ukiangalia ni kweli kabisa kaongea uwongo au kakosea ila akiambiwa anakimbilia kumuita mjuaji huyo aliyemuambia ili kukwepa labda aibu ya kuonekana hajui, ifike pahala tukubali tu kwamba kuna watu wanajua mambo mengi hata kama siyo wataalamu kama unajua unajua kama hujui hujui tu tusijifiche kwenye kuita watu wajuaji hata wanapoongea ukweli