Mjomba wangu sitakusahau

Lasaba gani anaandika vizuri hivyo? Wakati kuna watu wamemaliza chuo wakiandika ni majanga
 
Khaaaaa
 
Ku Kumbe ndio huyu! Naukumbuka huo uzi
 
We mleta mada ni boya kinyama dah. Nimecheka kiwaki mpaka masela hapa ghetto wameamka nikauchuka kama naota vile.
 
naomba ongea hata na rafiki yako anisaidie kazi hata udaktari tu kama atapata nafasi anipe ajira.

Hapa sijaelewa, kwani una taaluma hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu nimesoma nikaishia katikati maana nilikuwa kama nachanganyikiwa vile. Hebu naomba kuelewa kidogo. Wewe darasa la saba ila ukaomba kazi ya udakitari? Halafu pia ukaomba kazi ya TANESCO?

Kwa hyo ukadhani udaktari ni makalio kila mtu anayo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona kama ulikuwa na kiherehere sana Mkuu... Ulitaka kazi ya udaktari wakati hukuwa na taalumu mara utanesco
... Nadhani hata rafiki wa mjomba wako alikuzingua tu baada ya kukusoma!

Tena anasema amtafutie kazi HATA YA UDAKITARI. Ina maana angeweza kupata zaidi ya hiyo ila kwa vile ni msaada hata udakitari sio mbaya


Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu unataka kuwa dakitare wakati haujasomea?au sijasoma vizuri uzi wako

Aisee! Huyu mkuu nadhani ameandika comedy hapa. Mwanzoni nilisoma nikashindwa kumaliza nikaishia katikati maana nilikuwa kama nachanganyikiwa vile. Nimetulia nikaamua kuisoma mpaka mwisho nimecheka sana. Hii ni comedy kabisa.

Aisee Lasaba aruke akawe dactari ? wenzake tulishadisect sana michura na mipanya ila tukakimbia mbaya kabisa, huyu jamaa akili zinafanya kazi good au corona imepanda kichwani ? We are not late tunaweza kumsaidia aisee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi nimeishia hapo "HATA KAZI YA UDAKITARI" yaani simpo tu


Sent using Jamii Forums mobile app

Dunia ina mambo, naweka akiba ya maneno

Hii kazi ya udaktari na darasa la saba



Sent from my iPhone using JamiiForums

Mimi nilivyofika tu hapo kwenye swala la udaktari nikagundua nimeingizwa mkenge ikabidi nirudi juu kusoma jina la mleta mada.

Sent using Jamii Forums mobile app

At least kuna mtu amenisahaulisha Corona. Mleta mada usitufanyie hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijawah kucheka kama leo recently daaah huyu jamaa kiboko 🀣🀣🀣🀣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kazi ya udaktari alimaanisha nafasi yoyote ya hospital na kazi ya uTanesco ni kazi yoyote ktk shirika hilo.
 
naomba ongea hata na rafiki yako anisaidie kazi hata udaktari tu kama atapata nafasi anipe ajira.

Hapa sijaelewa, kwani una taaluma hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
JF ni sawa na Nchi moja hapa duniani inaitwa, Marekani. Nasikia waliowahi kufika kule wanasema, kule kila kabila lililopo hapa duniani utalikuta kule; hata kama ni mwakilishi mmoja wa hilo kabila. Ndio JF sasa, kuna sampuli za watu wa kila aina.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜Ž aisee
 
Darasa la saba..unaomba kazi ya utabibu..
mjomba hakuwa mjinga kuipotezea hiyo nafasi sababu alikujua huna hiyo taaluma .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa dada alikuwa daktari baada ya mjomba kumpeleka kwa Jamaa mwingine anajuana naye.
Neno hilindaktari ni pana kidogo, maana hata wa jadi nao wanajiita hivyo.
Wa mifugo pia hujiita hivyo na hata wa kule wanapohifadhia miili ya waliokwisha fariki huitwa/hujiita hivyo 'madaktari'

Ungefafanua vizuri, unamaanisha daktari yupi.?
 
hahahahahahahaha pole sana ila ni vizuri kuwa mkweli kwa mambo ambayo huwezi, hata kama mtu anataka kukusaidia ni vyema kuwa mkweli wakati mwingine usiweke maisha yako hatarini kisa kujiona unahitaji msaada tu.
 
eti unajiita daktari wa meno si utamng'oa mgonjwa mpaka ulimi kwa ulivyo daktari uchwara ?
 
unafikiri kazi ya udaktari ina dei waka kama kuchimba mashimo ya nguzo za umeme ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…