Uliomba usaidiwe kazi ya udaktari ilhali we ni darasa la saba na ulikuwa serious kabisaa?
Mbona kama ulikuwa na kiherehere sana Mkuu... Ulitaka kazi ya udaktari wakati hukuwa na taalumu mara utanesco... Nadhani hata rafiki wa mjomba wako alikuzingua tu baada ya kukusoma!
Ahaha! Mkuu hapa hamna kitu, dishi limeyumba afu ujue jamaa anakaribia kuoa ππππYaani nilipofika hapo anaomba kazi ya udaktari nilitaka niachie kurndelea kusoma Ila nilishawahi ngoja niendelee ili kuifurahisha nafsi tu.
-DARASA LA SABA NA UDAKTARI NA TANESCO
-MJOMBA HAKUMBIA KAMA UMEME NI HATARI
Huyu bro nina uwalakini na upstairs kwake Kama kupo vizuri, siioni lawama anazostahili mjomba hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii comedy yako ni nzuri Sana. Inatufundisha watu wanaopenda kulaumu ndugu wakati hawana hata vigezo vya kubebeka. Hongera Sana Mtanesco!
yaani hata taaluma ya udaktari ulikuwa hujui ila ukahtaj kaz ya udaktari,,,,,, nimesoma pia umesema ulimwomba mjomba wako akusaidie hata kaz ya utanesco,hii ni kaz gan na inahtaji watu wenye taaluma gani??? kama unamlaum mjomba wako kwa sababu hizi basi ww ni mpumbavu haswaa
Haha anasema in 2004 he was 20 years old na ndio alikuwa namaliza darasa la saba. Sasa hivi jamaa ana 36 na bado tu anamlaumu mjomba akeπππAhaha! Mkuu hapa hamna kitu, dishi limeyumba afu ujue jamaa anakaribia kuoa ππππ
Hahaha mamii umeua labda angezindikwa dukani?! πππUlivyo mjomba wako angekuweka dukani tu kwa hizo akili angekuzindika.
Jilimie, jembe halimtupi mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimsoma vizuri Kuna ujumbe mzuri sana kwenye comedy yake.
Wewe ndio umenifumbua machoUkimsoma vizuri Kuna ujumbe mzuri sana kwenye comedy yake.
Mnamcheka bure tu maskini, huyu alitakiwa apewe mwongozo na mjomba ili ajiweke sawa,
mjomba angemwelimisha tu si kumkomoa mpk kumpigisha shoti ili apate sababu kurudisha kwao.
Yes hawezi kuwa doctor wa meno but ilikua dream yake maybe, kuwa mtanesco that doesnt need too much power pale pale ana kibarua angesoma eve class veta kujiendeleza.
Kumrudisha kijijini mjomba kaonyesha pure miafrica tulivyo itasaidia nini?
Huyu dogo kakatishwa ndoto zake tukumbuke mamaake alikua anamtegemea na aliweka matumaini kwamba kijana kaenda mjini matunda yataonekana.
Then unarudishiwa mtu hospitali na tena najua alitoa diss kibao kabla jamaa hajazinduka.
I put down to 0.0000kwa mjomba.
Dogo usiwe mnyonge tia nguvu hapo ulipo we bado kijana mjomba utakutana nae tu huko mbele kajichokea mpe ukweli, mmwagie hata pombe, mpigishe magoti akiri hila alizofanya, mnyanyapae nawewe mpaka ajute
Yes hamna kucheka na nyani.
Imeniuma sana,
halafu wapuuzi hapa mnaleta utani kwenye issue km hizi daah.