Mjomba wangu amekuwa akinilawiti na kunitishia kwa miaka 20 sasa, nataka kumshitaki Mahakamani

Ulianza kufanyiwa hilo tendo ukiwa na umri gani?
Mjomba wako hana mke? hana watoto mnaishi wawili tuu?
Miaka 20 kwa sasa ni umri mkubwa sana kiasi kwamba ni vigumu mtu kuamini kama unayo yasema ni kweli....Hivi kweli mtu ambaye amefika form six kwa umri wako afanyiwe kitendo hicho na akose la kufanya hadi aje humu jf kweli?

Umesha mwambia nani akashindwa kukusaidia? kwanini umekaa siku zote bila kusema hata ulippfikisha miaka 18?
Umesha kwenda kwenye ofisi za ustawi wa jamii hapo ulipo?
Nisamehe kwakweli unanipa wakati mgumu sana maana kwa uliyo yaandika na hasa umri ni vigumu mtu kuamini sababu Jf imeharibiwa sana kuna story nyingi za uongo sana tena..
Maana kuna mtu humu nilimuunganisha na mtu apewe msaada wa kisheria kinaja kuambiwa jamaa alikuwa ana danganya.
Naomba ujibu maswali hayo nilio uliza
Yeye ana miaka 20 na amelawitiwa miaka 20, upuuzi.
 
Miaka 20 na wew unamiaka 20,,,alianza kukulawiti ukiwa na siku moja au?


STILL MESSI IS BETTER THAN CR7
 
Back
Top Bottom