Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Sawa mkuu tuna propaganda......🤣🤣🤣 tukapate ukweli kutoka kwa nani sasa mkuu?????
RPA au FDLR au kwa wananchi wa kawaida????
Tusaidie mkuu

Mkuu, ndio maana nimekupa mwaliko uje Rwanda upate ukweli. Shida ipo wapi?. Kwa Sasa Rwanda inasogea mbele haitaki mambo ya mrefu na mfupi ilishayafuta zamani. Ila nyie wa nje mnalazimisha yawepo. Warwanda hawataki kurudi walipotoka huko nyuma. Muwaonee huruma basi.
 

Umeongea fact siwezi kukubishia.
 
Fact
 
Kagame huyu ama
 
Nani kawazuia wasirudi?. Warudi tu, mbona Rwanda tupo vizuri. Ukiona mtu anapewa fursa ya kurudi na hataki, huyo ni adui wa Rwanda.
Mwaka 1986 Junevanail aliwaambia wanyarwanda hakuna kurudi...Rwanda kumejaaa......kaeni huko huko Uganda....wakati akihutubia bunge.
Na hii kauli ilimtoa machozi komredi Fred...
Usiwe na shaka.......watarudi tu kwa njia ile ile aliyorudi nayo mjomba wetu mwaka 1992!!!Baada ya kukaa ughaibuni miaka 30
Hawa madogo waliozaliwa ughaibuni hawawezi kukakaa ukimbizini miaka 30 ipo siku watarudi tu...kwa style ile ile ya wazazi wao walipofukuzwa...!!
Mambo ya kutesa kwa zamu...!!!
Mjomba kila mtu intarehamwe hata madogo waliozaliwa 1994 kuja juu...!!
 
Hili hata mm sina shaka nalo kwa wale watoto wa 1994 kurudi nyumbani, ni muda tu
 

Huyo Mrwanda wa wapi?. Rwanda ipi sio huru. Kwa hivyo Tanzania Ina uhuru kamili kiasi Cha kuwapa warwanda uhuru?. Uhuru wa Rwanda ulishapatikana na Sasa warwanda ni wamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…