Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

Ni kweli laiti angekua rais ni Membe , PK saa hz ama yuko the Hague au uhamishoni
 
Kumbuka kuwa Prof. Mwaikusa ndio alikuwa wakili wa wale washitakiwa wa kesi za mauaji ya Rwanda!
Mtikila alikuwa anamshutumu sana Kagame kuhusu mpango wao wa “ Bahima Empire “ na jinsi anavyowaangamiza wapinzani wake!
PK masterminded these assasinations!
 
Punguza propaganda. Watu milioni 9 unawajua?. Mmekalia uongo tu. Nendeni Rwanda mkapate ukweli wa mambo. Sio kujificha na kutunga uongo
 
Wakati nasoma thread hisia zilikutuma mjomba wako ndo yule ambaye nchi yake ina supply vumbi la stoo[emoji1][emoji1]
Ila baada ya kusoma comment nimegundua mjomba wako ni yule tolu kimbaumbau[emoji23]
 
Una ushahidi?. Mbona washukiwa wa Prof mwaikusa walikamatwa?. Halafu mtikila alifariki kwa ajali Tena akiwahi interview star tv. Tatizo mnajifanya kujua mambo ya Rwanda wakati ya kwenu humu ndani yanawashinda. Punguzeni unafiki
 
Punguza propaganda. Watu milioni 9 unawajua?. Mmekalia uongo tu. Nendeni Rwanda mkapate ukweli wa mambo. Sio kujificha na kutunga uongo
Sawa mkuu tuna propaganda......🤣🤣🤣 tukapate ukweli kutoka kwa nani sasa mkuu?????
RPA au FDLR au kwa wananchi wa kawaida????
Tusaidie mkuu
 
Una ushahidi?. Mbona washukiwa wa Prof mwaikusa walikamatwa?. Halafu mtikila alifariki kwa ajali Tena akiwahi interview star tv. Tatizo mnajifanya kujua mambo ya Rwanda wakati ya kwenu humu ndani yanawashinda. Punguzeni unafiki
Mkuu mm nilimwandikia tu mjomba barua......wana ukoo tunajuana kwa vilemba....usiwafokee wachangiaji
 
Wakati nasoma thread hisia zilikutuma mjomba wako ndo yule ambaye nchi yake ina supply vumbi la stoo[emoji1][emoji1]
Ila baada ya kusoma comment nimegundua mjomba wako ni yule tolu kimbaumbau[emoji23]
Vumbi la stooo ni anko BONGE 🤣🤣
 
Una ushahidi?. Mbona washukiwa wa Prof mwaikusa walikamatwa?. Halafu mtikila alifariki kwa ajali Tena akiwahi interview star tv. Tatizo mnajifanya kujua mambo ya Rwanda wakati ya kwenu humu ndani yanawashinda. Punguzeni unafiki

Kuwa na wauaji kwetu, hakumzuii mtu kucoment. Inasemekana Mwendazake alikula vichwa vya kutosha; tulimsema na bado tunaendelea kuonyesha chuki zetu kwake.
Sina hakika kama kuna Rais yoyote ndani ya EAC ambaye mikono yake haina damu ya binadamu; either directly or indirectly
 
Wewe unadhani vita ni play station. Halafu waende wakapigane na Rwanda kwa lipi?. Mpaka Leo mnalia vita ya Uganda ndio iliua uchumi, halafu unajidai kutaja vita nyingine. Ukiulizwa vita vya Nini na Rwanda huna jibu.
 
Tatizo la mjomba...kila mtu ni intarehamwe hata kama amezaliwa mwaka 2000 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…