Mjini shule...

Mjini shule...

emma115

Senior Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
135
Reaction score
167
Ama kweli mjini shule! Binti mmoja alikuwa akitaka kumuingiza mjini bwanake mmoja. Akatuma meseji hivi: "Baby ninataka kununua jeans moja nzuri lakini tatizo nimesahau pochi nyumbani." Baada ya dakika kadhaa meseji ikaingia kwenye simu ya binti: "Umepokea Shilingi 600 kutoka kwa Jofu. Binti akatuma meseji tena: "Jamani Baby, sasa hii 600 ya nini wakati jeans inauzwa 50,000!" Jamaa akajibu meseji: "Shilingi 300 nauli ya kwenda kufuata pochi nyumbani na Shilingi 300 nyingine ni nauli ya kurudi kununua jeans!. Du kasheshe.
 
Hahaha...! Binti nadhani atakuwa ametia akili! Kidijitali zaidi!

Kama nmbwainmbwai, rest in peace shida!
 
Ama kweli mjini shule!
Binti mmoja alikuwa akitaka kumuingiza mjini bwanake mmoja. Akatuma
meseji hivi: "Baby ninataka kununua jeans moja nzuri lakini tatizo
nimesahau pochi nyumbani." Baada ya dakika kadhaa meseji ikaingia kwenye
simu ya binti: "Umepokea Shilingi 600 kutoka kwa Jofu. Binti akatuma
meseji tena: "Jamani Baby, sasa hii 600 ya nini wakati jeans inauzwa
50,000!" Jamaa akajibu meseji: "Shilingi 300 nauli ya kwenda kufuata
pochi nyumbani na Shilingi 300 nyingine ni nauli ya kurudi kununua
jeans!. Du kasheshe.
du jofu ni zaidi ya noma,atakuwa alichoka kuchunwa kwa visingizio vya kiboya
 
Back
Top Bottom