Mjini shule, shamba kilimo. Na Akili ni mali

Mjini shule, shamba kilimo. Na Akili ni mali

Mr. BK

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
99
Reaction score
35
Jamaa alikosea kutuma m-pesa sh 500,000/= ikaenda namba nyingine, kuona hivyo akaumiza akili akatuma meseji ifuatayo kwenye namba hiyo." UMETEULIWA KUINGIA CHAMA CHA FREEMASON NA UMETUMIWA PESA, BAADA YA DAKIKA 15 ATAKUFA MWANAO AU NDUGU UMPENDAE. HARAKA KAA NJIA PANDA GARI YETU NYEUSI ITAKUFUATA UJE UNYWE DAMU YAKE.! KAMA UMESHINDWA MASHARTI RUDISHA PESA HARAKA KABLA YA MAAFA" baada ya dakika 1 tu jamaa akaona salio limerudi, chezea mjini wewe.
 
Back
Top Bottom