Mjini raha

ahahahhahahah twini wake dada mkubwa na we mjhini uhami!
mwenzangu sa tuhame twende wapi na mavilemba ya naija watafunga kina nani!
akhu!mi sihami mujhini!
sasa ngoja aje twini wako hapa uona atakavoshangaa shangaa!
ataanza kunikumbusha masuku ya kumptimbiiiii!wakati mi sitaki tena kurudi peramiho!ah mi ananiuziga mimi Fixed Point basi tu! nafanyaje sasa na ndo dada angu mkubwa na nnavompenda sasa?!sina jinsi
 
Last edited by a moderator:
Tena ukipanda dala dala hukosi wa kukulipia nauli

hasa ukiwa mwanamke.......hehehe ukigombana na konda kisa sh 200 wasiotaka kelele wanakulipia yote....kijijini hata sh 50 unadaiwa tena kwa kuweka dhamana.
 
Dahhh sasa hvi nampikiaje chai ya tangawiziiiiiiiiiii kwa raha zangu, lunch serena, dinner sea cliff......mjini kuzidiana ati!! ukicheza unarudi kijijini bila kutaka...JIPANGE.
ahahahahahhahah chai ya tangawizi inayoseviwa kwenye birika la muscat mchezo!
nakwambia we kama mtoto wa mjini mimi ndo kiboko yako!daadeki!
uuuuwih!jamani sitaki mimi!
mujhini kuzuri sana!kijijini kingeitishwa kwa mwenyekiti ujue,kule ukweni kwangu wangefanya mila!
kijijini shoga si ni kama ndugu yako,ahahahha mjini kuna ndugu?una kadi yake ya clinic?
 
Mjini kila mdada ni mrembo chezea mjini wewe

Hhahah na wote wanajiita wa mjini sijawahi kusikia wakijiita wa kuja....sijui na mzawa na nani wa kuja. Ukishajua kudrive na kuongea maneno 4,5 ya kiinglish na kupata dinner serena basi wewe wa mjini....
 
Ndo mana ulikuwa kimya na ukaja harusini, unajua ukicheza tunakurudisha kijijini uwe unakuja tuition kipindi cha likizo tu....chezeya hela wewe, ukae kimya hivyo hivyo kama unanyolewa. Mimi mjini ni wa kuja tena kwa mbio za mwenge nikiwa nimebeba marlboro yangu ILA ndo nilishakuzidi kete niko juu yako......UPO HAPO???
 
hasa ukiwa mwanamke.......hehehe ukigombana na konda kisa sh 200 wasiotaka kelele wanakulipia yote....kijijini hata sh 50 unadaiwa tena kwa kuweka dhamana.
Ulijuaje kuna kipindi flani nilienda ilikua mara yangu ya kwanza sasa kuna mzee mmoja aliomba sh 100 sikua na change nikampa 200 babu hakufurahia tendo lile basi baada ya kukaa kama wiki hivi ndipo nilipoelewa. Aka nitaishi mujini kijijni sirudi walah
 
ahahahhaha sasa nicheze nna hali!
yani walahi siamini!
cha!
yani kweli kituo cha faya nikuoneshe mwenywe!
feri nikupeleke mie
na bado nikasihia kuvaa sare badala ya kuvaa shela!
aahahahhahhha mujhini kweli kutamu!
 
Hhahah na wote wanajiita wa mjini sijawahi kusikia wakijiita wa kuja....sijui na mzawa na nani wa kuja. Ukishajua kudrive na kuongea maneno 4,5 ya kiinglish na kupata dinner serena basi wewe wa mjini....

nikiwa na blogu au show ipi ndo mtoto wa muhjini zaidi!
NDUKIIII!
 
Tena wengi wanadai walizaliwa ocean road hospt. Hawataki kabisa kuzaliwa muhimbili au temeke. na wote wameenda shule. Mimi kiinglish sijui lkn katu sikubali kurudi kijini kwanza kule kijijini kwetu ukijua Kiswahili tu wewe ni bonge la mtu na ukiwatishia kua wewe unaishi magorofani mama yangu ndio umeua. Wangejua nimepanga chumba kimoja kwa mfuga mbwa na nina watoto sita wote twalala pamoja chezea town wewe
 
ahahahhaha sasa nicheze nna hali!
yani walahi siamini!
cha!
yani kweli kituo cha faya nikuoneshe mwenywe!
feri nikupeleke mie
na bado nikasihia kuvaa sare badala ya kuvaa shela!
aahahahhahhha mujhini kweli kutamu!

Utaishia kucheza za wenzako, me nimekwambia mbona hunielewi??hahahahaha hapa ndo mjini bwana, ukikaa vibaya baby wako anaweza kuwa shemeji yako pia.
 
Hahahahahahahahahaha na mafuriko yakianza je si mnalala shuleni?hili hata hawalijui ila wanajua mko mjini.
 
he he heeeee, bora nikukumbushe masuku, vipi mangatungu? na mdojolela, lol!
mambo ya mujini si unanijua siyawezi dadako? nihumi kulipinyapinya nitaiweza mujini ghafla bin vup?
 
EHEHHEHEHHEHEH!nimeipenda hiyo!
babe wangu anaweza kuwa shemej yangu sio!
ahahahahhhaha BASI SAWA!
 
nikiwa na blogu au show ipi ndo mtoto wa muhjini zaidi!
NDUKIIII!

Ha umenipa wazo na mie nitaanzisha mrembo shoo....!! Umbea huu ujue siku hizi nina mmanage mtu? Nishakuwa meneja wa DM yuleee wa mawinguni.
 
Kweli haya malemba atafunga nani nasema kijijini no, nani anataka kukimbizana na ngedele shuti ukitembea unaogopa kukutana na simba. Tena kule kwetu nyumba ya bati mtihani lol. gari ni mpaka kipindi cha kampeni .
 
he he heeeee, bora nikukumbushe masuku, vipi mangatungu? na mdojolela, lol!
mambo ya mujini si unanijua siyawezi dadako? nihumi kulipinyapinya nitaiweza mujini ghafla bin vup?
Ablessed unaona!
si nilisema mimi!
kashakuja na kingoni chake wakti mwenzio mi nataka kupata miouting ya serena!
ah!
dada mkubwa songea tumeshahama bana!
tuko mujihni sa hiz!
tunaweka maless wig
tunapaka maobagi
tunavaa leggings
tunapigia denim zetu za orange
full mabebs wetu hatarini kuwa mashemeji zetu!
tuko mujhini dada mkubwa!
cha!
 
Last edited by a moderator:
Kweli haya malemba atafunga nani nasema kijijini no, nani anataka kukimbizana na ngedele shuti ukitembea unaogopa kukutana na simba. Tena kule kwetu nyumba ya bati mtihani lol. gari ni mpaka kipindi cha kampeni .

nsaidie kumwelewesha dada mkubwa wangu!
we nahisi anaweza akakuelewa!
mimi alishakariri ni toto tundu tu toka enzi!so hata nikiongea cha ukweli
anabaki kusali novena kuniombea kwa mama wa huruma nibadilike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…